TUNAFUNDISHWA kufaulu na walimu ambao walifeli.
Walimu wetu wa bishashara kwenye mitandao ya kijamii hawajawahi kuuza hata kijiko.
Wachungaji wanaotufundisa mahusiano? Wao wenyewe ndoa ziliwashinda. Watoto wao hawataki hata kusikia kitu inaitwa uchungaji.
Asilimia tisini ya wanaofundisha "Namna ya Kutunza Ngozi Yako" hawajui hata neno dermatology lina maana gani. Utasikia, "kama ngozi yako ina mafuta, tumia 'selam' au 'krinsa' 😂
Wataalam wa gardening.
Wataalam wa savings.
Wataalam wa investment na government bonds.
Wataalam wa malezi
malezi.
Wataalam wa indoor deco.
Kwenye Neno la Mungu ndo usiseme.
Wataalam wa mapishi.
WALIO WENGI NI WAONGO WAONGO TU.
Wanauza bidhaa tofauti na ile wanayokufundisha.
Cha kushangaza:
Siyo wengi wanafundisha maadili.
Siyo wengi wanaofundisha uaminifu.
Siyo wengi wanaofundisha nidhamu.
Siyo wengi wanafundisha kujituma, kuamka mapema na kuwajibika.
Siyo wengi wanaofundisha professionalism.
Siyo wengi wanaofundisha customer care nzuri na tabasamu kwa mteja, hata kama umeamka vibaya.
Siyo wengi wanaokemea attitudes mbaya-mbaya (mbovu) ofisini, dukani, wala sokoni. Kuna tudada tuna attitudes nyie. Ooh!
Tunafundisha mambo mepesi, tunapuuzia mambo magumu tanayoweza kuleta mabadiliko.
kama jamii, nadhani, hatuoneshi 'appreciation' ya kutosha kwa watu kama warioba. wangeamua kukaa kimya, kama walivyofanya wenzao wengi, na kufurahia tu maisha yao. wanatukanwa na vitukuu vyao, wanadondoka majukwaani, lakini wanaendelea kusema. mimi nawaambia asanteni sana:
“Mwenyekiti wetu, Freeman A. Mbowe akadai katiba mpya, akafunguliwa kesi ya ugaidi, akakaa gereza la Ukonga miezi 8, pale nilipowekwa mimi sasa. Tukapambana na kesi ya uongo ya ugaidi. Wakamkuta na kesi ya kujibu. Siku ya kutakiwa kujitetea hatukumuona tena Mahakamani, bali akatokea Ikulu. Hata jana nimesikia yupo huko Rufiji kwenye uzinduzi wa bwawa la Mwl, Nyerere, anahudhuria uzinduzi wa bwawa ka maji wakati mwenyekiti wake nipo kizimbani kwenye kesi ya uhaini. Mwenzetu yupo na mama.”
Tundu A.M Lissu, Mahakama Kuu, 24.08.2026
@RKishaija81715 500m to the boys + Flight operative costs Go and return means it has to be approximately 800m...this signifies that we can have that money and establish another Centre of talents development in Morogoro and have three centres.. What do I mean, there is money but poor allocation
STOP THAT!
The continued issuance of explanations regarding your purported report submmitted to the President constitutes a direct affront to our intelligence.
Upon completion and submission of the report, accompanied by directives that the public remain silent on the grounds that the matter does not concern them, you are thereby precluded from subsequently issuing clarifications to the same public.
Any and all explanations ought properly to be directed to the authority to whom the report was submitted.
It is both improper and illogical to purport to clarify matters to the public when the entirety of the report and its underlying facts remain exclusively within your possession.
Such conduct amounts to nothing more than a redundant and unwarranted exercise in self justification.
The said report is neither ours nor does it pertain to us as the public, by your own assertion.
we categorically reject any implication that we are incapable of independent thought or judgment.
We will not be compelled into silence. We possess the capacity to assess, question, and draw conclusions.
Any conduct that undermines this is unacceptable and constitutes a breach of respect.
what is required is the establishment of an independent commission that is impartial, credible, and commands the confidence of all stakeholders.
Truth, justice, and accountability remain the only viable foundations upon which the nation may be restored.
BAK MWABUKUSI
watu wanavunjwa moyo na chande — wana kila haki — lakini tunasahau kutambua how deeply entrenched ccm is kwenye kila nyanja ya maisha ya mtanzania. wewe ukiangalia unamuona jaji, igp, cdf; ccm wao wakiangalia wanaona wanachama wenzao tu. this isn’t by an accident; it’s by design:
Wakati mwingine unawaza kama sisi Waafrika tungekuwa wakoloni au tungetawala biashara ya utumwa sijui tungekuwa wakatili kiasi gani. Maana haya tunayofanyiana sisi wenyewe yanatisha na sisi ni damu moja, sasa pata picha tungepata nafasi ya kuwafanyia watu wengine huko ingekuaje.
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi
Wamekataa kuketi, kusomewa uongo
Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume
Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo
Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale
Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima
Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏
Bwana Chalamila, Mimi nimehudumu kwenye kamati ya Nishati na madini ya bunge kwa miaka mitano.
Najua utaratibu wa uagizaji wa mafuta kama ninavyojua kiganja cha mkono wangu.
BPS imeundwa nikiwa mbunge nimeshiriki .
Mnatakiwa kujibu maswali rahisi nyie watetezi mafisadi na Cartels.
1. Mafuta yanatumia siku ngapi kuanzia kununua mpaka yanafika Dar?
2. Mgogoro umeanza tarehe 28/2/2026, mafuta hutumia siku 50 mpaka 60 kufika bandari yetu ya Dar, hivyo mafuta yaliyonunuliwa baada ya mgogoro kuanza na bei kuanza bado hayajaingia nchini.
Kwanini mafuta yaliyonunuliwa na kuingia Nchini kwa bei ya chini yauzwe kwa bei ya juu?
3. BPS wananunua mafuta kwa wingi na mara zote yanatumika miezi mitatu au minne kama alivyosema katibu mkuu wa wizara… imekuaje mafuta ya kwenye reserve yapande bei?
4. Kuna tozo na kodi kwenye lita moja ya mafuta zaidi ya 18 au 31% yaani kila sh 100 anayotoa Mtanzania kununua mafuta anakatwa sh 31, achilia mbali 4% ya logistics ikiwemo Demurrage ambayo ni uzembe unasababisha Watanzania kubeba mzigo huu.
5. Muhimu sana tenda ilitangazwa lini na wapi? Nani na nani walishindana? Nani alishinda na kwa bei ipi? Wewe umesema mama ndio aliwambia TPDC waagize!!! Hii ni sawa na Richmond nyingine.. sheria inasemaje?
Sisi tunasema:
1. Mafuta yaliyopo hayastahili kupanda bei kwasababu yaliagizwa na kuingia kwa bei ya chini.
2. Mzigo wa kodi na tozo uondoke kwasababu ni nyingi na kubwa mno kuliko Nchi zote Afrika mashariki, ndio maana hata Nchi zisizo na bandari zinauza mafuta chini kuliko sisi.
3. Kuendelea kukandamiza Watanzania na dhuluma hii ya wazi kutaleta balaa kubwa kwenye maisha hasa ya mtu wa chini.
Maana mafuta yakipanda kila kitu kinapanda..
Bwana Chalamila na yule kijana jifunzeni kwanza mambo haya.
Mwandishi Khalifa Said ni miongoni mwa sauti chache katika uandishi wa habari wa Tanzania wanaochanganya taaluma, uadilifu na ujasiri wa kusema ukweli. Ameendelea kujenga nafasi ya uandishi unaolenga si tu kutoa taarifa, bali kuelimisha na kuhamasisha fikra pana za kijamii.
Anajitofautisha kwa uwezo wake wa kuchambua masuala magumu kwa utulivu na umakini, akitoa hoja zenye mizani na ushahidi badala ya mihemko. Uandishi wake unaonesha nidhamu ya kitaaluma, heshima kwa wasomaji, na dhamira ya dhati ya kuona jamii inapata maarifa sahihi ili kufanya maamuzi yenye tija. Huu ni uandishi unaojenga, si kubomoa.
Katika mazingira ambayo mara nyingi yanakumbwa na kelele za taarifa zisizo na kina, Khalifa Said anasimama kama mfano wa mwandishi anayezingatia ukweli, uwajibikaji na maadili ya taaluma. Ni aina ya uandishi unaohitajika zaidi katika kujenga jamii yenye uelewa, haki na mwelekeo sahihi wa maendeleo.
Kwa mantiki hiyo, ni wajibu wa jamii, wasomaji na wadau wa habari kuunga mkono kazi zake na kuenzi mchango wake katika kuendeleza uandishi wa kina, huru na wenye uwajibikaji. Kuunga mkono uandishi wa aina hii si tu kumsaidia mwandishi mmoja, bali ni kulinda mustakabali wa ukweli, haki na mjadala wa maana katika jamii yetu.
Hivi hawa wamekatwa vichwa? Swali la kwanza kabla ya kuuza dhahabu ya Watanzania linapaswa kuwa mafuta haya yaliingia lini nchini? Kwanini mafuta yaliyonunuliwa kwa bei ya chini yauzwe kwa bei ya juu.
Hiyo dhahabu ni mali ya Watanzania na hawako tayari kujikaanga kwa mafuta yao wenyewe.
Mbunge
anakunja mshahara plus posho,
milio kama 12-18 💴 hivi
kila mwisho wa mwezi!!
Tufanye 12M kadirio la chini!!
So kwa mwaka anakunja 144M.
Kwa term moko (5yrs) muhula mmoja
anakunja 720M (Bilioni kasorobo)
Whaaaaaao!!
Ukiwa mbunge kwa miaka 30 unatengeneza 4B+
Kumbuka hapo kuna mpiga kura wake ana umri wa miaka 35 na hajawahi kushika hata laki tatu tu ya pamoja KMMK Walahi🥹
(I’m sorry)
Again, mpiga kura huyo hana maji, hana umeme, na akiumwa hana bima ya afya!!
Mbunge huyo ana kila kitu sio shida zake!!
Na kwa kipindi chote hicho anaweza asiwe tu mbunge, akapewa na uwaziri……
means mshahara uta-double!!
Hapo sio tena 12M monthly
So kwa miaka 30 mtu anatengeneza 6B plus!! Mixer fursa shindili, yeye na familia yake na ukoo ikimpendeza!!
Lakini jimboni kwake ukifika hakuna chochote kilichobadilika, shida,ufukara,umasikini,changamoto milioni!!
Na hii ndio legacy wanayoipambania, not otherwise!!
Ndio maana mtu huyu anakuwa tayari kukupoteza ikibidi kukuua
ili ku-secure bag lake 💰
Mentor wangu aliwahi kuni-challenge kitu ambacho kimenibadilisha kimtazamo kuhusu PESA.
Mentor: "Edwin, ni kiasi gani cha pesa unahisi ungekuwa nayo sasa hivi ungeweza kufanya vitu unavyodhani kutokuwa na hela ndiyo kikwazo?"
Mimi: "Hela nyingi tu".
Mentor: Akacheka na kutabasamu kisha akasema, "Nyingi ni nini. Taja namba, shilingi ngapi?".
Mimi: Shilingi, TZS. XYZ/-
Mentor: "Je, Sasa hivi umeanza kujiwekaje kitabia, kimtazamo na kifikra kama mtu mwenye hiyo kiasi cha pesa. Unahisi wewe sasa hivi ulivyo, ukipatiwa hicho kiasi paaap....utaweza kufanyia hicho unachosema?"
Mimi: Kimya kidogo, nikajibu kinyonge ndiyo naweza. Kwa sababu nina ideas nitaweka tu plans vizuri kisha nitaanza kufanya.
Mentor: Nataka hizo plans, niambie utanfanya ABC.
Mimi: Nataka kwanza nipate pesa afu ndiyo nitajua napangiliaje.
Mentor: Akakaza sauti na kunichana, "You see hili ndiyo tatizo la vijana (watu) wengi. Mnasubiri mpate pesa kisha muanze kutafuta nini ufanyie hiyo pesa. Akaendelea.....
Wengi wanasema, 'ningekuwa na hela ni ningefanya hiki na kile'. Lakini akiulizwa hela hii hapa nipe hiyo plan, anaanza kusema inabidi nitulie nifikirie na kupangilia vizuri.
Akasema, "Akili ya milioni 1 haiwezi kupangilia milioni 10 nini cha kufanya. Zaidi ataiteremsha hizo mil 9 bila kujua imepita wapi afu akibakiwa na mil 1 ndiyo ataanza kufikiria afanye nini."
Akani-challenge, "So Edwin, you got to raise your financial thermostat. Na kuanzia sasa hivi anza kuwaza kwa kiwango cha pesa unachotaka kuwa nayo na anza ku-plan na kutengeneza tabia za mtu ambaye anafanya hicho unachotaka kuwa au kufanya. Kwa sababu JUHUDI zako zitakusaidia kupata pesa ila TABIA zako na MWENENDO wako ndiyo inayoamua pesa zitumikaje".
Mwisho kabisa akamalizia, "Work forward and not backward. Jenga tabia zitakozokusaidia ku-manage na kuzalisha pesa utakapopata. Yaani, pesa ikukute na STRUCTURE ya utekelezaji na si vinginevyo...
...Kwani, ukisubiri upate pesa ndiyo uanze kujifunza namna ya kupangia matumizi au kuzalisha, utakuwa kama mtu ambaye amecheza upatu. Always have a concrete financial GOALS, structure and plans kuwa utazifanyia nini. Pesa ikija una-direct tu iende wapi", Mwisho wa kunukuu.
I hope umejifunza kitu.
PS: Follow @EdwinMjeru tuendelea kujifunza kupitia mada mbalimbali nilizoainisha kwenye Bio yangu.
Uwe na Weekend njema.
Eid Mubarak kwa ndugu zetu Waislam wanaosherekea leo!
EFM.
Unlock and live your dream!
Kibaya zaidi huo mto pale chini una mamba ila tz kuwapa mageneral magari ya bilion 6 ni bora kuliko kujenga daraja pale Katavi n tuna JKT n mshahara wanapewa kila mwezi!