@EsirEid Wazingatie drainage system ndani ya pitch ili ikinyesha mvua maji yaondoke haraka, yasiweke madimbwi na matope. Alternatively waweke carpet tuu badala ya nyasi!!
Papa Leo XIV amesisitiza kuwa familia inajengwa na muunganiko wa Mwanaume na Mwanamke tu na sio vinginevyo. Papa ameyasema hayo Ijumaa ya leo na amesisitiza pia haki ya maisha kwa watoto ambao wako tumboni. Papa Leo amesisitiza masuala haya ambayo ni msimamo wa Kanisa Katoliki.