@AMARYAMARY9 Hapo kabla ya kujengwa kuna kitu inaitwa upembuzi yakinifu uliogharimu tsh milion 220, na hapo ni awamu ya kwanza,,,awamu ya pili milion 150 pamoja na gharama za kumuona injinia, vifaa vinatoka china kwa uangalizi maalumu uliogharimu milion 100,, kwanza na hapo wamebana sana π