@millardayo Bado nadhani kuna room ya kuboresha! Kupunguza au kuongeza miaka bila kujua watoto wanasoma nini, changamoto ni ile ile. Mh. Waziri aboreshe na kilichomo na hapa wadau wengi wahusishwe kusaidia, kwenye industry tofauti tofauti kama tunataka mabadiliko.
@EduTalkTz Nini tufanye tutatue hili ? Mimi ni kijana - mbobezi kwenye Tehama! Nini naweza kukusaidia tujenge kitu / mfumo usaidie kutoa elimu / nafasi ili kuchangia kuondoa changamoto hii. Nimeguswa. I will do it for free.
Visit my software shop: https://t.co/YzaL2GRUMv
I sell software to give your hardware life. Integrating voice control | commands to all my software by the end of the year.
@HilmiHilal88 Ukisema dini yako imekamilika unakosea. Simaanishi nataka kukuvunjia heshima ya dini - hapana. Ila ukamilifu wa kitu huwa haupingwi wala kuwa na maswali. Hamna dini chini ya jua yenye kutokuwa na kasoro na ndio maana wafuasi wamegawanyika.
@McinikaWaLamar haha usiwadanganye bana. Tumia busara usitumie, omba usiombe - - kwenye mahusiano lazima upigike na usipokuwa ngangari utamaliza mtaa wako. Kuharibika kwa maisha binafsi ni uamuzi na hauna uhusiano na mahusiano yako. Kila kitu almost ni uamuzi wako.
@paulmuchemwa2 So God protects Israel and Israel protects itself with missiles and guns and etc ? Stop this nonsense! Influence the end of all wars. Both Israel & Irans people will die. Whether God intervenes or not. But no one will if they find a way to compromise.
@HilmiHilal88 Nisaidie elimu kidogo hapa : 1. Vipofu wana hadhara ? 2. Kipofu akila kwenye kundi la vipofu wenzie - nani atamuadabisha mwenzie ? 3. Tamaa inayosababishwa na kuona - kiungo kipi kinapelekea mwanzo wa tamaa hiyo ? 4. Kwanini unatoka nje kipindi cha mfungo ?
@ExMayorUbungo Lawama pia, haitufikishi kokote. Haiajawahi mfikisha mtu popote. Ila ningeshauri uweke F: Wananchi. Mimi ningelaumu sisi - yani mimi na wewe. Kwanini tunaruhusu haya yote ?