#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 471
Mhe. Lissu anaendelea kufanya mawasilisho yake ya mwisho (Final submission)
Hakuna maelezo yoyote kuhusu uwepo wa Mwanasheria na hakuna mwanasheria aliyekuja kutoa ushahidi kwamba alikuwepo kwenye hiyo timu.
Kwahiyo ni maneno ya uongo ya mapolisi kwamba ofisi ya DPP ilikuwepo kumbe hamna kitu.
Waheshimiwa Majaji comparing the 2 testimonies side by side one could not believe these two Senior Police Officer they were talking about the same case.
Mtu mwenye akili ya kawaida hawezi amini kabisa kwa kutumia akili ya kawaida kabisa.
Kwenye ukurasa wa 462 wa Record ushahidi wa PW 16 anasema hivi “I testified after watching the video clip, I was satsified that the accused formed an intention to overthrow the goverment.”
Shitaka linasema kuitishia Serikali na huyu anasema kuipindua Serikali.
This one is separate case. Ndimi mbili kama za nyoka, Ulimi mmoja anataka kuipindua Serikali na ulimi mwingine anataka kuitishia Serikali?
Sasa Waheshimiwa Majaji mtaenda na ulimi upi kati ya hizi ndimi mbili za hawa walioongoza upelelezi wa kesi hii.?
PW 16 Amin Mahamba amethibitisha kuwa ushahidi wa PW 1 kwamba genge la Mapolisi wapelelezi halikuthibitisha mamlaka nyingine ya Serikali kushirikishwa isipokuwa genge lako. Alisema I did not involve RSO of Dar es salaam, Director of TISS or any officer in the investigation. Hakuwezi kuihusisha kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa and even State house was not involved. Sikuwashirikisha wote hao.
Unawezaje kupeleleza kesi ya Uhaini kwa style hiyo.?
Huyu PW 16 akajikanyaga tena ukurasa wa 460 kuwa niliwasiliana na DPP kupitia Mayenga ambae ni RPO. Ukisema RPO ni nani hakuna tumachojua kirefu chake na huyu Mayenga hakuitwa kuja kutoa ushahidi kwahiyo ni maneno ya waongo.
PW 16 alisema the DPP appointed native name Lawyer from Dodoma ambae alisimamia upelelezi.
Watu wanavaaa uniform za Jeshi la Polisi kumbe waongo, wanakuja Mahakamani wanajifanya wana Mavyeo makubwa kumbe waongo tu.
Kumbe DPP aliteua WAKILI mwenye jina gumu la Kibantu ambalo Pengine Majaji msingeweza hata kuandika jina lake ni uongo tu huko mwanzo hajasema.
Hivyo ndivyo walivyo tengeneza ushahidi wa uongo.
Nje ya hawa Mapolis, upo ushahidi wa MAFICHONI.
Waheshimiwa Majaji PW 16 alitoa ushahidi muhimu sana kuhusiana na hao mashahidi waliotoa ushahidi wa kificho, ushahidi uko ukurasa wa 481 wa Record
Ushahidi huu ni muhimu kwasababu unathibitisha bila shaka yoyote kwamba mashahidi waliotoa ushahidi mafichoni ukimuondoa PW 17 Mwandishi wa Habari mashahidi wengine ni mashahidi waliokuwa na maslahi makubwa ya kusema uongo Mahakamani.
Ni ushahidi wa mashahidi wenye Massive interest to serve, na PW 16 confirm to the Court hawa wanaoitwa mashahidi wa siri kuwa wana interest.
Alisema hivi the undercover witnesses were in deed arrested by the police kwasababu walikuwa wanapanga kufanya fujo na kushawishiana. It is true that upon their arrest they admitted they have been planing to engage in those violence and that they recorded statement in that respect.
These act constituted criminal offences. When they were brought before the Court they admitted the charges. And mwishoni baada ya kuchunguza tuligundua walishawishiwa hayo na Mshitakiwa Tundu Lissu ndio maana tukafuta kesi zao baadae.
Yaani umemkamata mtu ambae amepanga kufanya vitendo vya Uhalifu na wakaenda Mahakamani na kukiri halafu baadae wakazungumza nao na kwa vile wamekiri hawa hawana kosa kwahiyo wafutieni kesi.
Sasa hao ndio wameletwa kuja kutoa ushahidi sasa je wangekuja kuwakana hao waliowafutia kesi.???
Mnategemea nini kwa mashahidi wa aina hiyo?
Part 472 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 472
Mhe. Lissu anaendelea kufanya mawasilisho yake ya mwisho (Final submission)
Sasa hao ndio wameletwa kuja kutoa ushahidi sasa je wangekuja kuwakana hao waliowafutia kesi.???
Mnategemea nini kwa mashahidi wa aina hiyo?
Kwamba waje kusema ukweli Mahakamani? Kwenye ukurasa 448 wa record PW 16 alikuwa ameiambia Mahakama hivi kuhusiana na hao kwamba the files to be returned to the respected station and the suspect to be recorded statement as witnessses.
Mwanzoni walikuwa wanakamatwa kama watuhumiwa lakini baadae wakasema watafutwe na Wakamatwe lakini waandikishe kama mashahidi wa kesi ya Uhaini, waandikeni maelezo yao upya kabisa.
Kwahiyo mashahidi wa Mafichoni ni mashahidi wahalifu waliokamatwa na kuja kutoa ushahidi kwa kificho ili wasionekane wala wasijulikane na mnakumbuka kila mmoja wao niliwauliza ulitishiwa maisha akawa anajibu Hapana hapana.
Mashahidi waliwekwa mafichoni kwa njia za udanganyifu na kusema walitishiwa wakati hakuna aliyewatishia. Hiyo ndio kesi wanayotegemea na nyie Majaji mconvict mshitakiwa.
Sasa Sheria inasemaje kuhusu relying on inherent danger through partisan witnessess Mahakama zetu zimetambua hatari za kutegemea ushahidi wa mashahidi wa aina hiyo. Maslahi ya aina hiyo. Kwamba wanaambiwa nitakufutia kesi ukikubali kuwa shahidi wa kesi ya yule.
Kushitakiwa sio jambo zuri kwenye taifa hili. Ukimwambia mtu ukikubali kutoa ushahidi wa yule basi atakubali tu ndo maana Mahakama zetu siki nyingi inasema
Abraham Sagulani vs R 1981 TLR 265 Mahakama iliamua yafuatayo kuhusu na suala la mashahidi wa aina hii mashahidi wenye interest to safe their evidence must be approached with care and not reliep with upon unless corroborated with other evidence.
Vilevile kesi ya Asia Iddy vs Jamhuri 1989 TLR 174
Kesi ya Justice Rumima Katiti
Kesi ya Basilio John Mlai vs R CA 306/2018 CAT at Arusha.
Vilevile kesi hizi zote zimezungumzia hiyo habari ya ushahidi wa shahidi mwenye interest to save. Na Mahakama ya Rufani inasema mashahidi wa aina hii ni Liars na waongo.
Sasa Majaji kwa msingi wa maamuzi haya ambayo nimeyataja, mashahidi hawa wa mafichoni haupaswi kuguswa kabisa ni ushahidi wa maslahi na hautakiwi kuwa Corroborated kabisa.
Ushahidi wa PW 5 utakumbuka ni yule aliyedanganya kuhusu Dini yake. Mahakamani amekula kiapo kama mkristu na maelezo yake ya maandishi kinasema yeye ni Muislamu.
Huyo anayedanganya mpaka dini atamfunga nani? Ukurasa wa 342 wa record. Shahidi huyo pia alidnaganya kuhusu uanachama wake wa Chadema ameulizwa kadi haelewi.
PW 7 huyu alisema uongo kuhusu kupelekwa kituo cha Polisi Songea na alidanganya kuhusu uanachama wake kuhusu Chadema. Ukurasa 358/359. PW 8 Ushahidi wake uko ukurasa wa 353 na 354 nae ushahidi wake incosistent and contradiction, Discrepancies and lies.
PW 10 ukurasa wa 378 alidanganya kwamba mshitakiwa alisema tumejipanga kufanya vurugu. PW 11 ushahidi wake ulijaaa contradictions, Discrepancies.
PW 13 Huyu alidanganya juu ya uanachama wake wa Chadema kwenye maelezo mimi ni mwanachama wa Chadema lakini kizimbani mimi bado sijawa mwanachama.
Na shahidi wa mwisho PW 14 alidanganya kuhusu kazi yake kwani Polisi alisema yeye ni Mkulima wa Kata ya Mwakibete.
Alipokuja Mahakamani akasema yeye ni fundi umeme wa Jiji la Mbeya na huyu shahidi alisema lazima tukichafue wakati mimi nilisema lazima tukinukishe.
Kwahiyo Waheshimiwa Majaji
😂😂😂😂 Majaji na watu wanacheka sana.
Mashahidi 9 wa kifichoni na mashahidi 7 ni ushahidi wenye mashaka na hakuna ushahidi nje ya ushahidi wa Mapolisi na hawa wa gizani maana yake huo ushahidi should not be acted upon at all.
Part 473 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 470
Mhe. Lissu anaendelea kufanya mawasilisho yake ya mwisho (Final submission)
d) Wamekaa Mapolisi wanadanganyana hawajui sheria mambumbumbu hawana mwanasheria hata mmoja wanatengeneza kosa. Ukurasa wa 158 wa Record ya Mahakama PW 1 ametaja majina ya timu yake na orodha ya mashahidi wake.
Kwa akili yote hii kesi ilitokea kwa PW 1 George Bagyemu.
The investigation included ASP Gyumi, Mwakabongo, Numbu, Ibrahim, Ramadhani. Hiyo ndio timu ya upelelezi ambayo wote ni Mapolisi tu hapo.
PW 1 baada ya kugundua kuwa hii habari ya kutomshirikisha DPP alibadilisha msimamo akala matapishi yake.
He contradicted himself, page 169 akasema yafuatayo "The chief investigator Amin Mahamba was the one who reported to the DPP by the time I opened the file I did not report officially to DPP.” Na anadai DPP alikuwa anajua hiyo habari maana aliambiwa na Amin Mahamba.
e) PW 1 hakuhusisha wala kutoa taarifa kwa mamlaka nyingine yoyote ya kiuchunguzi wala kiserikali kuhusiana na hilo file la Uhaini.
He did not involve or report to any other government authority about the open up of the treason file na hapa namaanisha sio kesi ya Maembe ni kesi ha Uhaini.
Ushahidi unasemaje?
Ukurasa wa 170 wa record unasema treason ni kosa kubwa sana na pia linahusisha na watu wa TISS na sikuwahi kuzungumza na Mkurugenzi wa TISS kuhusu mambo haya ya Uhaini na sijui kama TISS walipewa taarifa kuhusu kesi hii ya Uhaini.
Anakubali kabisa kwamba kesi ya Uhaini ni kubwa sana lakini anasema sijawahi kuwasiliana sio tu na Mkurugenzi Mkuu wa TISS bali hata Mkuu wa Usalama wa Mkoa wa Dar es salaam kwasababu sio kazi yangu kujulisha.
Sasa Waheshimiwa Majaji kesi kubwa kuliko zote kwenye Jamhuri halafu huyu Polisi anasema hajawahi kuwasiliana na watu wanaohusika na usalama wa nchi hii. Huo ndio ushahidi mnaotizamiwa muukubali mtoe adhabu ya kifo.
Waheshimiwa Majaji haya ambayo nimeyasema hadi hapo kuhusu PW1 katika haya maeneo manne haukuwa clarified kwenye Re-examination na hakuna aliyemuomba afanye clarification angalia ukurasa wa 176 wa record.
Hakuna clarification yoyote kwahiyo maana yake wameukubali na wanategemea Mahakama ikubali kwamba kuna Uhaini na itoe hukumu ya kifo.
Sasa hayo ndo aliyoyafanya PW 1 siku nne za kwanza za kosa hadi Tarehe 08.
Sasa twende kwa Amin Mahamba ambae alikuwa Mkuu wa Upelelezi kuanzia Tarehe 08/04.
The first remarkable thing about PW 16 is that aliimeza hadhithi ya PW 1 hook, line and sinker. Hilo ndio jambo la kwanza, alikubali kila kitu alichoambiwa na George Bagyemu.
Kitu cha pili nilisema juu ya Confusion juu ya kesi ya Upande wa Mashitaka kwa maana ya Confusion kwa mfano PW 16 flattered contradicted about the composition of the investigation team.
Ni lugha gongana kabisa kati ya PW 16 NA PW 1, ukurasa wa 460 PW 16 anasema yafuatayo: The investigation analysis and legal advisory team comprises PW 1 and another officer from DPP office.
Hao watu hawakusema kama walimjulisha DPP na ghafla team ilikuwa na muwakilishi kutoka office ya DPP hakutajwa jina na hakuna aliyekuja kutoa ushahidi hapa Mahakamani.
Of course tofauti kati ya PW 1 na PW 16 wanatoa ushahidi ulikuwa ni muda umepita PW 1 aliwahi kutoa ushahidi na baadae PW 16 ndio akaja. Nilimuuliza anaitwa nani? Akasema jina fulani la Kibantu nimelisahau.
Nilipomkumbusha kuhusu PW 1 kusema hakukuwa na Mwanasheria wewe unasemaje alikuwepo ukurasa wa 160.
The Court should accept my testimony that a team included a lawyer lakini naomba Mahakama ikubali ushahidi wako kwamba kulikuwa na Mwanasheria.
Mahakama ikikubali ushahidi wa PW 16 maana yake PW 1 ni muongo.
Sasa ni Mahakama gani itakayoconvict charge of treason kwa ushahidi wa mashahidi wa Jamhuri wanaoitana waongo.
Kwa waongo hawa unamtia nani hatiani?
Part 471 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba Repost yako.
Namshukuru MUNGU jumapili yangu nimeianza na hii VIDEO hakika watanzania wamefunguka VICHWA SIO MCHEZO.
Mjomba anapiga PANAPOUMA KWA LUGHA NYEPESI SANAAAA.
REPOST 200
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 456
Mahakama imerejea.
Majaji wameingia wapo watatu kama kawaida yao wanaongozwa na Jaji Ndunguru.
Anasimama Katuga anasema corum iko kama asubuhi isipokuwa Ajuaye Zengeli, anasema wako tayari kwa ajili ya kuendeshea.
Jaji Ndunguru anamuuliza Mshitakiwa vipi?
Mhe. Lissu anamjibu niko tayari.
Mh. Lissu anasimama na kusema Wahehsimiwa Majaji tulipobreak nilipendekeza niingie kwenye hoja ya Sheria ya Uchaguzi na kama ambavyo nimeelezea kosa la Uhaini kama lilivyofafanuliwa kwenye Katiba.
Kosa nililoshitakiwa nalo halihusiani kabisa na kilichosemwa kwenye kanuni ya adhabu na ndio sheria pekee kwahiyo kama haya matendo niliyoshitakiwa nayo hayafit katika sehemu yoyote katika mojawapo ya matendo 10 ambayo kifungu cha 39 kimeyataja kwamba ukiyafanya haya unakuwa umefanya kosa la Uhaini.
Maana yake ni kwamba mimi sijafanya kosa lolote la Uhaini.
Sasa Wahehsimiwa Majaji kama sijafanya kosa lolote la Uhaini je nimefanya kosa lingine lolote kwa mujibu wa sheria za Tanzania? Ndicho ninachotaka kujadili kwa sasa.
Maneno ninayoshitakiwa nayo ni kuvuruga Uchaguzi na sheria No. 1 ya 2024 ndio Sheria inayosimamia uchaguzi kwenye nchi hii. Hiyo sheria ilitungwa kwa ajili ya Uchaguzi wa 2025 na sheria hiyo ilitungwa kusimamia uchaguzi ambao kwa mujibu wa DW 5 umekuwa ni uchaguzi ambao watu wengi wamekufa kuliko kipindi kingine chochote toka vita ya majimaji.
Sura ya 7 ya Sheria hiyo ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Inasema kwenye kichwa cha habari ni MAKOSA na ADHABU ZAKE.
Makosa yanayohusu Uchaguzi na adhabu zake. Waheshimiwa Majaji sheria hii katika Sura ya 7 imeorodhesha jumla ya Makosa 23 na adhabu zake.
Kuanzia kifungu cha 114 hadi 136 ni orodha ya makosa na adhabu zake. Makosa ambayo ukiyatenda unaweza kushitakiwa na kufungwa au ukapewa adhabu ya kijinai na kufungwa.
Maneno ambayo tunataka kujua ni makosa ni yale maneno tutazuia uchaguzi, tutavuruga uchaguzi na tutahamasisha uasi. Tumesema sio Uhaini hadi sasa kwa hoja tulizotoa. Sasa je ni kosa gani lingine?
Uzuri wa sheria hii umeandikwa Kiswahili kila anayejua kusoma na kuandika anaweza kusoma. Kosa la 1 lipo kwenye kifungu cha 114 linaitwa kosa la uandikishaji wapiga kura,
2. Kutumia wadhifa kushawishi watu wasiwe wagombea kifungu cha 115.
3. Mwenendo usiofaa wa mtendaji wa uchaguzi.
4. Makosa yanayohusu daftari la Wapiga kura kifungu cha 119 hili nalo mimi sihusiki na hayo yote niliyotaja.
5. Mwenendo usiofaa wa maafisa uandikishaji.
6. Kifungu 121 makosa yanayohusu fomu za uchaguzi na karatasi za kura.
7. Kosa la mtu kutangaza amejitoa kwenye kinyang'anyiro.
8. Kifungu cha 123 vishawishi vya rushwa kwa ajili ya kujitoa hilo nalo sihusiki nalo.
9. Kifungu cha 124 margin inasema makosa mengineyo kutoa ushahidi wa uongo wakati wa tamko.
10. Utunzaji wa siri ni kosa pia. Kif. 125
11. Kifungu cha 126 hongo na takrima
12. Impersonation kujifanya mtu mwingine. Kuchukua kadi ya mpiga ya mwenzako.
13. Kupoteza sifa kwa kuhukumiwa kwa kosa la kitendo cha Rushwa.
14. Kosa la 14 liko kifungu cha 129 bad influence ushawishi mbaya.
15. Kosa la kif.130 hongo na rushwa kwa maafisa wa tume.
16. Hatia ya kujifanya mtu mwingine. Mimi ni Tundu Lissu wa miaka yote sijajifanya mtu mwingine.
17. Adhabu ya vitendo vya rushwa na vitendo haramu.
18. Kuingilia Mikutano halali ya hadhara ni kitendo haramu vilevile.
19. Makosa yanayohusu siku ya uchaguzi. Kuvaa nguo za chama siku ya uchaguzi. Hilo pia sijafanya.
20. Unyanyasaji na ukatili wa kijinsia wakati wa uchaguzi. Hilo nalo halinihusu katika kesi hii.
21. Kuchafua matangazo ya uchaguzi. Wagombea wameweka mapicha unararua.
Hayo ndio makosa kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi na ukiyafanya hayo yana adhabu zake zilizoelezwa kwenye sheria.
Hakuna kukinukisha hakuna kuzuia uchaguzi sio kosa kabisa. Na sio makosa kwasababu kifungu cha tano cha kanuni ya adhabu kimefafanua makosa ni vitu gani?
Part 457 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 291
Katuga: Kutokulipiwa na matibabu na umeeleza vitu vingi kuhusu uchaguzi. Imani yako uliposema imani yako na mahakama haipo kwahiyo huna imani?
Mhe. Lissu: Hilo ni la kuuliza kweli. Kwenye maswala haya sina IMANI KABISA NA MAHAKAMA.
Katuga: Maswala yapi?
Mhe. Lissu: Si ya Uchaguzi tunazungumzia.
Katuga: Kwahiyo hukupanga kuiomba Mahakama kutengua vifungu fulani vya Katiba?
Mhe. Lissu: Sikupanga.
Katuga: Uliamua kutafuta njia nyingine mbadala?
Mhe. Lissu: Njia ya mbadala ya Kidemokrasia.
Katuga: Jana nilikuulizia kuzuia uchaguzi ni njia ya kidemokrasia.
Mhe. Lissu: Haswaa.
Katuga: Kukinukisha ni njia ya kidemokrasia?
Mhe. Lissu: Haswaa ni njia ya kidemokrasia.
Katuga: Kuhamasisha uasi je?
Mhe. Lissu: Njia ya kidemokrasia kabisa. Mwalimu Nyerere alisema uasi dhidi ya mifumo kandamizi ni halali kabisa.
Katuga: Kifungu cha 52 cha Media Service Act iko sawa na kifungu cha 55?
Mhe. Lissu: Iko sawa.
Katuga: Sheria ya Huduma za Habari iliundwa ku regulate huduma ya habari?
Mhe. Lissu: Ndio
Katuga: Kuzuia uchaguzi uliopo kwa mujibu wa sheria ni kuipinga serikali?
Mhe. Lissu: ni kuzuia uchaguzi. Kuipingaje tena serikali?
Katuga: Kuhamasisha uasi, kukinukisha. Ni kuipinga serikali au kuipindua serikali.
Mhe: Lissu: Hatukuwa tunazungumza habari za serikali.
Katuga: Mbona nakuuliza swali kwa heshima tu
Mhe. Lissu: Huna heshima hata kidogo. Uitoe wapi?
Katuga: Unakumbuka ulisema kuipinga serikali sio kosa?
Mhe. Lissu: Nimesema.
Katuga: Sasa ulikuwa unamaanisha nini?
Mhe. Lissu: Nassoro Katuga nimesema kifungu cha 55 hakijasema serikali peke yake
Katuga: Mimi mdogo ndio maana unanionea.
Mhe. Lissu: Wewe mdogo ungekuwa hapa? Una udogo gani wakili mkuu wa serikali?
Katuga: Ulisema mapolisi kujiandika maelezo ni kinyume cha sheria na je uliwatajia sheria.
Mhe. Lissu: Sikuwaambia lakini kifungu kipo na kinajulikana.
Katuga: Sasa mbona unaniambia sina adabu halafu wewe hujibu maswali.
Mhe. Lissu: Unataka niseme yakwako?
Katuga: Ulisema vielelezo vilivyoingia mahakamani uliviingiza wewe?
Mhe. Lissu: Viliingizwa na Mahakama.
Katuga: Kwahiyo umeridhika na content za hivyo vielelezo?
Mhe. Lissu: nimeridhika vitumike kuonesha sina hatia.
Katuga: Naomba D1 hadi D16.
WANAMTAFUTIA WAMPATIE VIELELEZO.
Katuga: Unakumbuka D1 ni kielelezo cha Kaaya ambae ni PW2 na uliomba yatumike kwa nia ya kudodosa shahidi kwa mujibu wa kifungu cha 163?
Mhe. Lissu: Kweli
Katuga: ni kweli tulisema kuhusu ommission na contradiction?
Mhe. Lissu: Nilisema.
Katuga: Ulisoma kifungu cha 163 hapa Mahakamani? Na ukasema hakuna neno omission kwenye kifungu hicho na neno pekee lililopo ni contradiction?
Mhe. Lissu: Nakumbuka.
Katuga: Ulimuuliza Kaaya ameajiriwa mwaka 2009 na ameenda Zanzibar au hajaenda? Na akajibu hayamo? Unakumbuka?
Mhe. Lissu: Nakumbuka.
Katuga: kutokuwepo kwenye maelezo yake ni contradiction au ommission?
Mhe. Lissu: Omission.
Katuga: Kwenye hiki kielelezo ni contradiction gani ipo hapo?
Mhe..Lissu: Mahakamani alisema ni Uhaini lakini kwenye maelezo amesema ni makosa ya jinai.
Katuga: Uhaini ni madai au jinai?
Mhe. Lissu: Jinai ziko ngapi sasa? Alitakiwa kueleza kuwa jinai ni ipi?
Katuga: Ni bado unasema kwenye hiyo nyaraka kuna contradiction
Mhe. Lissu: Nimeshaonesha.
Katuga: D2 unakumbuka ulimuhoji kwamba yeye ni mtaalamu wa picha aliyetangazwa kwenye GN 725 akajibu maneno hayo hayamo.
Mhe. Lissu: Ndio.
Katuga: Je hiyo ni Contradiction?
Mhe. Lissu: Ni comtradiction ndio kwasababu zilitajwa GN. mbili tofauti. Ni contradiction ya akichokisema kwenye maelezo yake ya maandishi.
Katuga: Yale majibu yote aliyosema hayamo yalikuwa ni contradiction au ommission?
Mhe. Lissu: Ni omission
Katuga: Ulisema hiyo omission inaenda kwenye root ya kesi
Lissu: Tutasema hayo mengine kwenye final submission mimi ni shahidi wa facts.
Part 292 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 288
Katuga: Pale ambapo kifungu cha Sheria kinatoa adhabu maneno kuwa shall be liable. Ni descretion ya Mahakama?
Mhe. Lissu: Hakuna descretion adhabu ni hiyo hiyo.
Katuga: Je uko aware na kesi ya Shed Mhagama
Mhe. Lissu: Wewe mwenyewe hapo unaangalia kwenye laptop mimi unataka niangalie wapi sasa?
Katuga: Omission na Contradiction maana yake nini?
Mhe. Lissu: Nipe kamusi nitakupa.
Katuga: Unataka Hadi kamusi?
Mhe. Lissu: Sasa umesema ni maneno ya kisheria. Sheria huwa inajibiwa kwa nyaraka nipe kamusi nikujibu.
Katuga: unaweza kutupa tafsiri ya mkanganyiko na kutokuwepo.
Mhe. Lissu: Mkanganyiko na jambo moja lina maelezo tofauti mawili na ommision ni kitu hakikuwepo ila kimeletwa.
Katuga: anaenda kupiga soga na wenzake pale.
Sasa tusaidie tafsiri ya kifungu cha 163 cha Evidence Act. Je contradicting ipo hapo?
Mhe. Lissu: Ipo ndio.
Katuga: Umewahi kufungua kesi kwa jina lako?
Mhe. Lissu: Nimefungua kupitia chama changu.
Katuga: Nimekuuliza wewe
Mhe. Lissu: We have done things, we have fought. Zipo vita nyingi tumepambana.
Katuga: Mambo ya Jaji Chande umesema mengi
Mhe. Lissu: Yapi ya Haki jinai au Oktoba 29?
Katuga: ya 29 nilisema. Alisema kuwa matukio ya tar. 29 yalipangwa na kupangwa kulitokana na masuala ya Uchaguzi.
Mhe. Lissu: Ndio tume huru na mengine
Katuga: Nakuheshimu kuna jambo sitaki kukwambia
Mhe. Lissu: Unaniheshimu wapi acha umbea. Unataka kuninyonga unasema unaniheshimu. Msingenishtaki kwa uhaini kama unaniheshimu.
Katuga: Taarifa ya Jaji Chande tume ile ilisema machafuko yale yalilenga kuzuia uchaguzi?
Mhe. Lissu: Hilo sijui nikumbushe.
Katuga: Je unakumbuka sana ulisema watatukamata watanifungulia kesi ya Uhaini.
Mhe. Lissu: sikumbuki. Nioneshe
Katuga: Ulisema Majaji ni MaCCM
Mhe. Lissu: Nakumbuka.
Katuga: nitakuwa sahihi hapo ndio nia ilianza kujengwa kwasababu mlisema muandamane ili mchukue dola
Mhe. Lissu: Sasa si yangekuwepo kwenye hati ya mashitaka hapo. Mbona hamkuyaweka hayo maneno?
Katuga: Waheshimiwa Majaji tunaomba D1 na zingine hadi D16 sasa muda umeisha. Sijui tunafanyaje?
Majaji wanaandika.
Jaji Ndunguru anasema Tunahairisha kesi hadi kesho saa tatu asubuhi.
Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 285
Katuga: Usiende huko
Mhe. Lissu: Naenda kote tu, maandamano najua wewe unataka njia ya Mahakama.
Katuga: Sheria ya maandamano umetaja sheria yako?
Mhe. Lissu: Ibara ya 20(1) ya Katiba inasema tupinge kwa mikusanyiko na maandamano.
Jaji Taratibu jamani tafadhali. Naandika.
Mhe. Lissu: Haya mikutano ya hadhara imeruhusiwa kisheria.
Katuga: Haya nikupe usome?
Mhe. Lissu: Nipatie nisome. Anapatiwa Lissu na anasoma. Inaitwa freedom of association and assembly.
Katuga: unamfahamu Francis Dyanabo
Mhe. Lissu: Julius Ishengoma Francis Dyanabo namjua alienda Mahakamani kupinga sheria za uchaguzi
Katuga: Alishinda?
Jaji hebu rudia hapo kwa Dyanabo.
Mhe. Lissu: Namfahamu personally Julius Ishengoma Dyanabo personally kwasababu alifungua kesi za kupinga sheria ya uchaguzi kwamba kabla ya kufungua kesi ya uchaguzi unapaswa kuweka kiasi cha pesa.
Katuga: Kuhusu Mtikila na mgombea binafsi ilikuwaje?
Mhe. Lissu: Sasa usiniingilie nikujibu umekuja vizuri. Mtikila alishinda Mahakama kuu, Mahakama ya rufani ilitengua na baadae akaenda Mahakama ya afrika na wakasema huko kuwa Tanzania iruhusu mgombea binafsi. Hii serikali unayotumikia haijawahi kurekebisha hilo hadi leo.
Katuga: Sasa nakuuliza ulisema kifungu cha 39 cha Penal Code umesema mambo ya overt act kinasemaje kuhusu njia ngapi za manifestation.
Mhe. Lissu: Ziko mbili.
Katuga: Ipi na ipi?
Mhe. Lissu: Publication of a writing or printing na overt act or deed.
Katuga: inapotumika neno or inamaanisha haya maneno yanatumika in alternative?
Mhe. Lissu: yanaweza kufanana na yanaweza yasifanane. In this case yanafanana ni matendo.
Katuga: Kwahiyo similarities inamaanisha.
Kwamba yako similar. Kwahiyo kati ya neno or au and lipi lilipaswa kutumika.
Mhe. Lissu: Kwamba ingesomeka by overt act and overt act. Maana yake nini?
Katuga: Haya soma hapo.
Mhe. Lissu: Sasa hiki umenipa nini? Chukua haya makaratasi yako.
Watu wanacheka. 😂😂😂😂
Katuga: Wewe ni Kaka angu umenitangulia kwenye taaluma si ungesoma eneo lenyewe kama nimekufunulia ukurasa tofauti.
Mhe. Lissu: Sio kazi yangu mimi ungefungua unapotaka wewe.
Katuga: Sasa soma kifungu cha 13 cha Intepretation Act
Mhe. Lissu: Anasoma.
Katuga: Kwahiyo tuamini nini?
Mhe. Lissu: Sheria haitungwi ili iwe absurd
Katuga: Ulisema kuna mambo yamekukuta kwenye mapambano yako? Nitakuwa sahihi nikisema kuwa wewe ni mtu mwenye chuki dhidi ya serikali.
Mhe. Lissu: Nina chuki na serikali ya nchi hii kwasababu imeonea watu wengi.
Katuga: Kwahiyo ulisema yote hayo una chuki na serikali?
Mhe. Lissu: Nina chuki dhidi ya uonevu wa serikali. Ninayo chuki dhidi ya serikali sahihi kabisa. Wanaonea sana watu.
Katuga: Kama Mwanasiasa nia ya Chama cha siasa ni kushika dola?
Mhe. Lissu: Sio nia pekeee ni nia mojawapo.
Katuga: Tutakuwa hatumalizi.
Mhe. Lissu: Tutamaliza tu.
Katuga: mihimili mitatu ya dola ni ipi?
Mhe. Lissu: executive, Bunge na Mahakama.
Katuga: Kwenye sheria majukumu ya hii mihimili mitatu ni nini? Tuanze na Bunge?
Mhe. Lissu: Kutunga Sheria
Katuga: sasa mbona ulitaka kusema mengine
Mhe. Lissu: Sikutaka uishi kwenye ujinga wa kudhani kazi ya Bunge pekee ni kutunga sheria ziko nyingi sana.
Katuga: Kazi ya mahakama je?
Mhe. Lissu: Kutafsiri sheria na kutengua sheria.
Katuga: Jibu maswali yangu usinielimishe?
Mhe. Lissu: Wewe ndio umesema mimi ni kaka yako unataka nikuelimishe hutaki tena muda huu nikuelimishe?
Katuga: Kazi ya Serikali ni ipi?
Mhe. Lissu: Serikali inaisimamia sheria. Kwahiyo?
Katuga: Umenipa jibu?
Mhe Lissu: kwahiyo kama nimekupa jibu hivi nyie mnasoma sheria wapi?
Katuga: Turudi tena Kifungu cha 39 cha Kanuni ya Adhabu. Pale kanuni ya adhabu iliposema mtu akitengeneza kitendo kwa nia ya kutishia serikali. Je tafsiri kuna takwa kuwa lazima iwe imetishika?
Part 286 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.
Baba - Raisi Mstaafu.
Mama- Mbunge.
Mtoto: Mbunge & Waziri.
Lazima utuone tunaodai KATIBA MPYA hatuipendi AMANI ya hili taifa.
Tunataka KATIBA MPYA tukomeshe HUU UPUMBAVU.
Hii ni nchi ya watu zaidi ya milioni 60 haiwezekani miaka nenda RUDI ni nyie tuu na familia yenu kama hii nchi ni URITHI WA UKOO WENU.
Tunataka katiba mpya tusafishe huu uozo wote huu.
Watanzania @HecheJohn na @TunduALissu wanatuhitaji kupita kiasi.
Heche anapigwa vita sababu kuna viongozi ndani ya Chadema wamefika bei ya maridhiano na CCM so wanajaribu kumuondoa Heche ili waweke mtu ambae atafanya maridhiano..
Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) [87th Plenary Assembly - Study Session] unaendelea katika ukumbi wa Amecea uliopo ndani ya Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini DSM.
Mkutano huo unaongozwa na Rais wa TEC, Mhashamu Baba Askofu Wolfgang Pisa, OFMcap, na umehudhuriwa na Maaskofu wote wa Kanisa Katoliki Tanzania, Wakuu wa Taasisi za Kanisa, Wakuu wa Mashirika na Mama Wakuu wa Mashirika ya Kitawa.
Mada kuu katika mkutano huo ni: Haki za Rasilimali Tanzania. Mada hiyo inatokana na waraka uliotolewa na Baba Mtakatifu Leo XIV kwa Kanisa. Kwa lugha rahisi ni kwamba sehemu ya watu walioelimika zaidi nchini (think tank ya nchi) wamejifungia Kurasini kujadili kuhusu Haki za rasilimali zetu.
Sasa subiria waje na tamko halafu usikilizie "wanyonyaji" wa hizo rasilimali watakavyotoa milio. Roma Locuta causa finita est.!
AFCON 2027 TANZANIA haitakuwepo na hii kampeni tutaifanya kwa WIVU MKUBWA SANA.
Kama tulivyosema hakutakuwa na UCHAGUZI 2025 na haukufanyika na sasa tunaenda kuzuia AFCON isifanyike.
Mwaga moto kama DRAGON kama unaungana na mimi🔥🔥🔥
REPOST 500
#NoDemocracyNoAfcon
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 224
Majaji wameingia muda huu saa nane Kamili Mchana.
Wanaandika pale juu.
Mheshimiwa Lissu ameingia na kuteta jambo na Dr. Nshala tunamsikia anasema waende kokote watakapotaka kwenda tutakutana nao huko. Sasa sijui ni wapi anamaanisha.
Anasimama Renatus Mkude Wakili wa Serikali kwa niaba ya jopo la Mawakili wa Serikali tunaomba radhi kwani tulifikiri tungetumia lisaa limoja.
Mchana huu nipo na Ajuaye, Thawabu Issa na Cathbert Mbiringe. Kwa wote tunawakilisha jamhuri na Mshitakiwa yupo.
Shauri lilipangwa kuendelea na mashahidi. Lakini tumetafakari na tunaitafsiri kwa mujibu wa kifungu cha 6 cha Appellate Jurisdiction Act na kanuni ya 65(1) ya kanuni za Mahakama ya Rufani.
Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) anatoa taarifa ya kuwasilisha taarifa ya mapitio (revision)
Hapa kwanza anakosea Mapitio ni Review alipaswa kusema Marejeo ndio Revision sijui kasoma wapi nae huyu jamaa.😂😂😂
Anaendelea hapa Renatus Mkude, kuwa Notice of motion hiyo imeambatanishwa na kiapo cha Cathbert Mbiringe Wakili wa Serikali ambayo taarifa hii ya kutoa notice kwenda Mahakama ya Rufani imesainiwa leo Tar. 24/02/2026.
Na kupokelewa kwa mifumo ya kielektroniki inayotambulika na Mahakama na kusajili kama. CRIMINAL REVISION NO. 7203216/2026 imepokelewa na Mahakama ya Rufani Tanzania hapa Dar es salaam.
Ambalo chimbuko lake ni Criminal Sessions No. 19605/2025 ambayo iko mbele yenu Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu. (Ndunguru, Karyemaha, Kiwonde)
Kwa kuwa shahidi wetu aliyekuwa anafuata ACP Mahamba tuliyemuombea notice additional substamce of evidence na ikakataliwa.
Ni Rai yetu kwamba kwa kuwa shauri hili limeshapokelewa Mahakama ya Rufani haiwezi kusimama ili kuweza kutoa nafasi kwa shauri husika huko Mahakama ya Rufani kuweza kuamuliwa.
Ni hayo tu kwa sasa.
Tunamsubiri Mh. Lissu atajibu nini?
Mhe. Lissu anaanza.
Baada ya kuzikiliza wasilisho la upande wa Mashitaka nina haya ya kusema.
1. Kwa vile mimi nipo gerezani na wanajua nataka wanipatie hiyo nakala ya Notice of Motion waliyofile niweze kuiona.
2. Ninafahamu na ninatumaini na wao wanajua kwamba kwa mujibu wa kifungu cha 8(2)(d) cha Sheria ya Mamlaka ya Rufaa ambacho wamekitaja (Appellate Jurisdiction Act) wanafahamu kwamba hakiruhusu rufaa wala mapitio wala marejeo ya maamuzi ya Mahakama ambayo hayamalizi shauri la msingi. (Interlocutory decisions) sina shaka na wao wanalifahamu hilo.
3. Waheshimiwa Majaji siwaombi mtoe uamuzi wowote kuhusu hili ninalolisema.
Nataka iwe kwenye record kwamba nafahamu na naamini upande wa mashitaka wanafahamu lengo la kupeleka ombi la marejeo Mahakama ya rufani na wanafahamu hairuhusiwi ni kurefusha mashauri haya ili niendelee kukaa Gerezani. Ni hilo tu.
Kwamba tupeleke Mahakama ya Rufani ili huyu mbaya wao ambae ni mimi aendelee kukaa Gerezani.
Kwa vile wananipeleka kwe ye Mahakama ya Rufani nataka niwaeleze kuwa nitawafuata huko huko naenda kuwashughulikia huko huko.
Kama ambavyo kesi yao is dead on arrival najua hata hii revision yao pia imeshakufa.
Tutarudi hapa yakiisha huko ya Mahakama ya rufani tutarejea hapa na nitawashughulikia tukirudi.
Jambo la Mwisho Mawakili wangu wametaka kunipa nyaraka hapa lakini siwezi kupewa hadi nyie mseme.
Sijui wanaogopa nini watu wa magereza nisipewe huo uamuzi hapo ni makaratasi tu.
Naambiwa ni hukumu kutoka huko Umoja Wa Mataifa lakini Magereza wanaogopa nisipewe.
Tena ni uamuzi unaohusiana na mimi kuwepo Gerezani. Tatizo liko wapi?
Jaji anasema uko wapi? Umepelekwa wameuona wamesema wape Mawakili wa Serikali.
Wako wanasoma hapa Mawakili wa Serikali huo uamuzi.
Anasimama Renatus Mkude anasema mimi ni member wa working group za UN Human Rights Council.
Jaji: Tumesema apewe au asipewe?
Renatus Mkude: Apewe tu.
Part 225 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba Repost yako.
#UPDATES_KUTOKA_MAHAKAMA_KUU
Muda huu ni saa sita nayo dakika 17 kesi ya mchongo ya uhaini dhidi ya Mhe. Lissu bado haijaanza na Mawakili wa Serikali hawaonekani.
Tetesi kutoka kwa msiri wetu zinasema wanapigiwa simu hawapokei na wengine wamezima simu.
Mawakili wa Serikali wamechimba. Majaji na Mahakama imeachwa solemba, haya mambo yanashangaza kabisa.
Jamhuri kama hii kesi imewashinda waiondoe au wakae na Lissu Gerezani bila kesi kuendelea tujue moja maana hapo awali leo Walisema wanahitaji lisaa limoja kutafakari muda huu yamefika masaa mawili. Hawaonekani na hawajulikani walipo.
Unaambiwa hakuna anayefanikiwa kuwapata Mawakili wa Serikali na hawajulikani wameenda wapi?
Sijui ndio kufuata maagizo kutoka juu.😂😂😂😂
Haya ni maajabu na ni mambo yanayoshangaza sana.
MWAGA MOTO KAMA DRAGON WANANGU.🔥🔥🔥🔥
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵🏻😎
MASISIEMU YAMECHANGANYIKIWA HUKO.
Jaji Deo John Nangela ndie wamepeleka jina lake ICC agombee kuwa jaji.
Kama kawaida tusaidiane kufukunyua kwanza maana kuna vetting itaanza na tuna nafasi kusaidia mahakama apatikane jaji mwenye sifa siyo huyu mgombea wa Samia Suluhu.
Hawa MAJAJI wote ni pedi za SAMIA ambao waliteuliwa kwa MPENZI YA DIKTETA JIKE ambae ndie tunalia nae kuuwa ndugu zetu zaidi ya ELFU KUMI.
KISAMIA kinatafuta kila njia kisiende kunyea NDOO na kulala saa 9 mchana.
REPOST 200