Kwa ujazo wa 107.3 MHZ #KontenaLaAnkoTajiri linakwenda kuishibisha SUMBAWANGA kwa Elimu, Afya, Uvumbuzi, Fursa, na lile burudani lenye shangwe la msimu, tukutane site.
#SWAX ni muda wa kukunjua nafsi na kuudumisha ule uswaiba wetu wa dhati katika msimu wa #FIESTA2022.