Huu Ndiyo Muda wa kumuomba Prof.Ibrahim Lipumba Radhi Sasa, 2015 aliposema CUF isisusie "UMAKAMU" Aliitwa Msaliti..!
"Waswahili wanamsemo Wanasema Uongo Upanda Lift na Ukweli Upanda Ngazi"
Kwamba Ukweli Utachelewa Kufika wakati Uongo huwahi,ila Ipo siku Ukweli Utafika tuh.
Kila mpenda mabadiliko kwenye Taifa hili anapaswa kutambua dhamira na maono ya @ChademaTz ni kuona kila Mwananchi anakuwa Huru na kupata Haki pamoja na kuheshimu "Utu" Ndoto yetu ni kuu kuliko Ubinafsi na Umimi. Anayekwenda kinyume na matakwa ya Nguvu ya Umma tunamkataa waziwazi
@Kibumi3@MrJoe81870814 @RehemaTanzania Ndivyo walivyo jamaa hajakosea kabisa!! Usisahau Wasambaa ni hatari sana. Kila mwanaume anakuambia Kaka yake. Hawa dawa nikuwaacha waoane wenyewe kwa wenyewe.
@bukobaonline @TweveDevota Aliekufa tayari ni dead body huwezi kumuhuzunikia, haihitaji chochote tena. Una muhizunikia yule aliekuwa anamtegemea marehemu
@kigogo2014 Mzee wa Kanisa, Ghana Dunia nyingine kabisa. Hauwezi kuifananisha na nchi ya kuzimu hii. Suala la muhimu ni Tume huru, huo ndio mwarubaini.
Corona imeporomosha Utalii duniani kwa 70%. Serikali makini zinaokoa sekta hii kwa kupunguza matumizi, kodi na tozo. Tanzania tunauzika Utalii kwa kuongeza tozo, kodi mpya & kununua ndege mpya zisizo na biashara. Aliyeloga viongozi wetu keshakufa longtime.
https://t.co/5suBpzISCa
@kitamandogoyo Hiyo mimi sikubali, mke wangu lazima nimshauri trendily aje timu yangu. Lakini linaloniuma ni pale nilipo mbadilisha kuja Arsenal, nilimkosea sana. Maana kila mechi ya Arsenal lazima amani itoweke ndani, ile ya juzi ilibidi nigeuke bubu nikamfurahisha kwa kwenda kunyoa ndevu.
@hancymachemba Mimi binafsi nimekukubali sana, chochote alichoumba Mungu ni kizuri. Na kila aliempa anajua kinamfaa. Wasilete ujinga wao, wewe mposti mke wako akufurahie. Maana ndicho kinachomfanya nae akupende na kujiamini. Big up bro.
@emon_eram @MU_D12@kigogo2014 Kwahiyo huyo ni wa Mbeya au? Acha kutuchokoza mimi nasubili nione kama jina langu limo, nikiwemo na hela hawakunipa nitazaa nao mpaka wanipe changu.