Leo tarehe 6 Juni 2026 nimeamua KULIPA GHARAMA ZA MATIBU za kijana RAHIM OMARY ISSA NGAIZIGA ambaye kutokana na UKOSEFU WA FEDHA kiasi cha TZS 800,000 ALIKOSA MATIBABU katika Taasisi Mifupa (MOI) ya Hospitali ya Taifa MUHIMBILI. Hii ndiyo “KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE”.😂😂