‼️HUYU NDO FADHILI SAGA, MMOJA WA WAUAJI WA OKTOBA 29‼️
Huyu kwenye picha anaitwa Fadhili Saga alikuwa Mkuu wa Operation wa TISS.
Wakati tuko busy tunajiandaa na Maandamano ya Oktoba 29, 2025 na yeye alikuwa busy kuandaa kikosi cha TISS ambacho kilipewa jukumu la kuuwa waandamanaji , hiki kikosi chake ni njee ya vile ambavyo vilikuwa vinaratibiwa na Jeshi la Polisi chini ya IGP Wambura pamoja na Kamishna wa Operation wa Jeshi la Polisi Awadhi Haji ( Kuhusu ushiriki wa Awadhi kwenye maujaji ya Oktoba, tutajadiliana siku nyingine)
Turudi kwenye issue ya leo,
Ni hivi kikosi ambacho alikuwa anakiongoza Fadhili Saga kilikuwa na Makomandoo wa TISS + KMKM na wengine walitolea kwenye Task Force ya Mafwele ambayo iliundwa kwa ajili ya kudeal na Majambazi Sugu ila badae ikaongozewa majukumu ya kuteka, kuuwa na kupoteza Wanaharakati & Watu wanaokosoa Serikali haram. hiyo task force Makao yake yapo nyuma ya kituo cha Polisi Chang’ombe Dar es Salaam na pale wanakarakana yao ya kutesea watu yani mtu akitekwa kabla haujauwawa/kupotezwa lazima apelekwe pale, wenyewe wanapaita “THEATER” wakimaanisha Chumaba cha Upasuaji.🥹
Kama mnakumbuka Oktoba 29, 2025 baada ya Maandamano kushika kasi kila kona ya Dar wa salaam ndo vikosi vya Idd Amin Mama vikaanza kuingia barabarani na kuanza kupiga watu risasi hawakutaka hata kutumia mabomu ya machozi wala maji ya kuwasha kwasababu agizo lilikuwa ni kuuwa.
Sasa Fadhili Saga alichukua silaha, akawapa na vijana wake, kwenye kikosi ambacho alikuwa anakiongoza yeye then wakaingia barabarani, moja kati ya majukumu ambayo alijipa yeye ni kikosi chake ni kuhakikisha Waandamanaji hawavuki Magomeni, hawavuki Morocco, hawavuki Karume na Kurasini kote huko aliweka Vijana wake na lengo lake ilikuwa Waandamanaji wasiingie Karikoo wala Posta maana alijua wakifanikiwa tu kuingia hapo, Ikulu ya Magogoni itakuwa imeondoka, walikubaliana mtu yeyote akisogea hayo maeneo tajwa apigwe risasi.
Sasa kwenye route ya MAGOMENI ambayo ndo ilikuwa na Waandamanji wengi, Fadhili Saga akaingia mzigoni yeye mwenyewe, akiwa na hii gari mnayoiona hapa kwenye hii video, ambapo Fadhili Saga alikuwa na hawa Wauaji wengine mnaowaona kwenye video hii.
Hii siku Fadhili Saga na kikosi chake waliuwa watu wengi sana, walipiga risasi kila mtu ambae alikatiza mbele ya macho yao😭 walipoona hakuna mtu ambae anapita barabarani ndo wakaamua kuingia majumbani kwa watu, walipiga risasi hovyo hovyo kuna watu risasi ziliwafuata ndani kwao, zikaondoa uhai wao, Fadhili na kikosi chake walifanya operation ya kuuwa watu kwa siku tatu mfululizo bila huruma.
Fadhili Saga na kikosi chake waliuwa maelefu ya Watanganyika, huku akiamini kwamba baada ya Oktoba 29, Nduli Idd Amin Mama lazima angempandisha cheo na kumfanya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Imagine mtu alikuwa anamiminia watu risasi kama kichaa, alikuwa anamlinda Nduli Idd Amin Mama, asiondolewe madarakani na waandamaji ili mwisho wa siku ampandishe yeye cheo, yani hakuona njia yoyote ya kumsaidia kupanda cheo isipokuwa kumwaga damu za Watanganyika wenzetu kwamba cheo ambacho alikuwa anakitaka thamani yake aliona inalingana na uhai wa watu aliowauwa.
Sasa mara baada ya Nduli Idd Amin Mama kuapishwa pale kwenye Garage ya kambi ya Jeshi, akamuondoa kabisa Fadhili Saga kwenye nafasi ambayo alikuwa nayo awali, baada ya Fadhili kulalamika sana sasa hivi Nduli Idd Amin Mama ameamua kumpeleka Fadhili Saga Ubalozini huko kwenye moja ya nchi za Asia ambako anaenda kuwa afisa wa kawaida wa Ubalozi.
Kwasasa Fadhili Saga, anasoma Chuo cha Diplomasia pale kurasini ikiwa ni maandalizi ya kazi yake mpaka ambayo anatarajia kuianza mara baada ya kumaliza kozi yake fupi anayosoma so nyie ambao huwa mnaonana nae huko Kurasini kwenye iko chuo cha Diplomasia, jueni kwamba mnasoma na mtu hatari sana, mtu ambae ameuwa maelfu ya Watanganyika kwa mikono yake miwili.
Kwenye ile list ya watu ambao wanatakiwa kufikishwa ICC huyu hatakiwi kukosekana.
Taifa limahitaji saana watu Smart Kama SUGU.
Mana lilikuwa sio jukwaa la Siasa just was an intertainment.
Jamaa kakataa uchawa mazima mamamamk Mwana FA nafkr nae alipanda kwa heshima ya AY tu. 🫡🫡
Mwaga Moto kwa Mh. SUGU
👇👇
NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.
@GoodluckMalekoJ Kaka kila lenye mwanzo lina mwisho iko siku nao watanyooswa tena kwa sheria walizo tunga wao na bado wataonekana wanaonewa tupo pale tunawasubili