@killo_killo11 Chombo cha moto chochote ukinunua kipya usikimbilie kukiendesha ingia service kikaguliwe kila kona ili uwe na uhakika wa kukitumia hata safari ndefu tofauti na hapo utakuwa unatafuta kifo. Naomba kuwasilisha.
πππππ
@TBoundBuses Mt 03 ni 300cc kwa hiyo bei iwapo ni mtumba ni sahihi ila changamoto ni usajili na clearing kule ports
Lakini JP bei zake ziko chini sana baadhi ya machimbo issue ni regi. na revenue