Alafu kama inamuuma huyo fala Girishoni, si na yeye atoe documentary? Kipi kigumu? Waliishia wapi na yule scammer wa nigeria na mganga wa kienyeji wa zimbabwe?🚮
Kama hujashiriki mchango wa kuichangia CHADEMA na unajiita mpenda HAKI inabidi Ujitathmini.
Mpaka sasa tumepata 24M na safari ya kuisaka 334M inaendelea.
Kumbuka mchango huu utaenda kusukuma ajenda kuu mbili.
1. #FreeTunduLissu
2. #KatibaMpya
Repost 500
#BBCAfricaEye profiles Tanzanian opposition leader Tundu Lissu as he fights treason charges, for which he could face the death penalty.
Watch the documentary, Tundu Lissu: A Fight Too Far? 🎥 https://t.co/s9pF5KAhXL
"Wafuasi wangu kwenye social media, X (twitter), Instagram, Facebook, Tiktok, mamilioni ya Watanzania na marafiki zangu wengine wote naomba tushiriki katika hili jambo kubwa na jema kabisa la #Tonetone, tutengeneze mvua itakayotuwezesha kukomboa nchi yetu." Mhe. @TunduALissu, Mwenyekiti Chadema Taifa.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
📱 Simu imezima au kioo kimepasuka?
Usipoteze muda na mafundi wa kubahatisha! Wahi Ubungo External Garage upate huduma kutoka kwa mafundi waliobobea. Tunarekebisha changamoto zote kwa uhakika na haraka sana.
🛠️ Uchunguzi wa simu yako ni BURE!
📞 Piga sasa: 0789456054
Sawa sisi tunawalisha sumu, je nyinyi serikali haram, mmeshindwa nini kuwalisha asali ili waipende serikali?
Pumbav kabisa, yani bado halijakubali kuwa ukosefu wa haki ndio sumu yenyewe. Yani bado anatafuta mchawi although dunia nzima inamwambia tatizo ni nini.
Kwahy Msemaji wa Gavoo analipwa mwisho wa mwezi kwa kutoa Ufafanuzi?
Hadi hili la Mh Lisu Bado ni upotoshaji, risasi, kesi za uchochoz, uhain Bado uhain zote hzo ni upotoshaj?
Ase. Free Tanganyika
Ndugu wanachama, wapenzi na Watanzania wote mnaoamini katika demokrasia na mabadiliko, mapambano haya ni ya kila mmoja wetu. Chama imara hakijengwi na mtu mmoja bali mshikamano, kujitolea na michango ya wanachama wake
Tuiunge mkono CHADEMA kwa nguvu zetu, sauti zetu na michango yetu halali ili shughuli za chama ziendelee, viongozi waweze kuwafikia wananchi na Mkutano Mkuu pamoja na shughuli nyingine za chama ziweze kufanyika kwa mafanikio makubwa
Nguvu ya CHADEMA ni wananchi. Tukiwa pamoja hakuna kinachoshindikana. Kila mmoja wetu ajitolee kadri ya Uwezo kwaajili ya chama chetu #PeoplesPower ✌️
#BBCAfricaEye profiles Tanzanian opposition leader Tundu Lissu, who has spent more than a year in prison on treason charges for which he could face the death penalty.
He survived an assassination attempt in 2017 when he was shot 16 times.
🎥 Full film: https://t.co/WRWXi1oWur
“SERIKALI HII YA AWAMU YA SITA” 🤣🤣🤣
Well, ndugu zangu wanachekesha sana. Kwanza wamefanya show ya Miaka 30 ya Bongoflava (Hili nitaliongelea vizuri after this post), wakidhania wanaokuja kwenye show ni GEN Z! Then wametumia tactic za kitoto, kufikiri wanaweza kufanya sinema zao za kuchomeka siasa katikati… alafu Washangiliwe; unaweza kukuta walimpanga mama yao standby ili apige simu baada ya kuona kuna nyomi!!
Hawakujua wengi walikuwa ni Millenials & Gen X… ambao ni watu wazima sasa na wanajielewa. Na ni watu ambao Serikali Hii Ya Awamu ya Sita imewaua Wenzao na Wadogo Zao, na Watoto Wao!! Ni Watu ambao Wanajua kabisa hawakwenda kupiga kura ila Serikali Hii Ya Awamu ya Sita ikadai imepigiwa kura asilimia 90% plus by 30 million people. Ni watu ambao waliona aliyoyafanya Bashite wakati wa Magufuli, na wameshangaa bado ni Waziri sasa! Ni watu ambao wanaona jinsi rafiki zao kina Humphrey Polepole, Mdude Nyagali, Deusdetius Soka, wanatekwa na kupotezwa bila Serikali Hii Ya Awamu ya Sita kufanya lolote na kuwafanya wahisi pengine ni kazi ya mikono yao! Waliokuja kwenye Concert, ni watu ambao wameshuhudia Tundu Lissu akimiminiwa risasi 20 na, nusura kufa, na amerudi kufanya siasa na mkambambikia kesi na kumuweka ndani takriban mwaka sasa!
Waliokuja kwenye show ni Madaktari na Wauguzi walioona Maiti za Oktoba 29, kisha kuja kusikia Serikali Hii Ya Awamu ya Sita inakana!
Waliokuja kwenye show ni Wahasibu, Auditors & Bankers, ambao wanajua ukweli wa hali ya kiuchumi. Na wanajua viongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita wana kiasi gani bank, huku mtaani wananchi wakifa njaa.
Walikuja kupata Burudani & to experience nostalgia!! Hawakuja kupewa “Danganya Toto” wala kuwa “Solitical Stooges”. Waliokuja sio watu wenye njaa, wala sio watoto!! So mbinu za kitoto za Babu Tale na Makonda, haziwezi kufanya kazi!! Na hao Wasanii wenye njaa hawawezi kuwasaidia…
Sababu nia yenu ilikuwa Siasa na sio kuenzi Muziki, mmeishia kuboronga vyote viwili.
WANANCHI UKWELI WANAUJUA, HATA KAMA HUTOWAONA KWENYE MAANDAMANO AU SOCIAL MEDIA WAKIPOST!
Serikali ni HARAMU, hatuitaki na hatuitambui!! Ila sababu nyie ndio mna BUNDUKI, ndio maana watu WAMENYUTI tu.
The Leader