I often wonder how many gifted people the world has lost simply because they were born into poverty. People who could have become exceptional at something but never had the money, support or opportunity to explore their abilities.
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Mariam Othman akisaini kitabu cha maombolezo na kutoa pole kwa familia ya Wakili Nguli Alute Mughwai Lissu nyumbani kwake jijini Arusha mapema leo Novemba 09, 2026.
Kiongozi wa Mawakili Kanda ya Kaskazini, Wakili David Shilatu amewaongoza mamia ya mawakili na waombolezaji kuaga mwili wa Wakili Nguli Alute Simon Mughwai Lissu kwenye ibada iliyofanyika katika kanisa la Mt. Theresia wa Mtoto Yesu Jimbo Kuu Arusha leo Novemba 09, 2026.
Looking back, secondary school was full of people with incredible potential. Some were brilliant academically, some could make an entire classroom laugh, others were naturally witty, outspoken, fearless or exceptionally creative. There was so much raw talent around us.
Nimetoka Gereza la Ukonga, kumtembelea Mhe Tundu Antiphas Mghwai Lissu mfungwa mwenye namba 623/2026, yuko salama ameanza maisha mapya.
Mhe lissu ametupatia ridhaa Mawakili wa Chama, chini ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshalla kumwakilisha kwenye rufaa inayokusudiwa kusajiliwa na mambo yote yanayohusiana nayo, kufuatia uamuzi uliotolewa tarehe 6 November 2026 na Mahakama kuu, Masijala ya Dar Es Salaam.
Mhe Lissu amepokea nakala ya taarifa ya kukata Rufaa (Notice of Appeal) ambayo imesajiliwa Mahakamani, pamoja na nakala ya hukumu iliyosomwa November 06, 2026.
Aidha, hatua nyingine za kisheria zinaendelea kwa uratibu wa mawakili wake.
Tulishinda vita dhidi ya "Tone Tone" , hakuna vita ngumu kama vita ya kifedha.
Hii vita mpya dhidi ya HECHE pia tutashinda asubuhi tuu. Kama utakula hela jiandae kushugulikiwa kwa wivu mkubwa sana.
TUPO TAYARI.