@EsirEid Mbona kaeleza uzuri sana na andikonlake Wala halina Cha ushabiki,kwani asernal leo mkipumzika kwa lengo la kuounguza afya mtapoteza nini๐๐๐๐๐
Tata @TitoMagoti Mungu akuwekapo salama ,haya yakiisha kuna siku nitakualika pale Kilimanjaro kijijini kwetu Kyou uje Upate kambege ushushie machalari na nyama choma tutakazokuwa tumekula.Kazinunayofanya sio ndogo pokea haya maflawa mapema