🇷🇺🇹🇿 Rais wa Urusi Mhe. Vladimir Putin na Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakishiriki katika kikao kikuu cha Jukwaa la Kimataifa cha Kiuchumi la St.Petersburg (SPIEF).
📷 Picha: Roscongress.
❗️Rais wa Urusi Mhe. Vladimir Putin, Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine wanatarajiwa kushiriki katika kikao kikuu cha Jukwaa la Kimataifa la Kiuchumi la St.Petersburg (SPIEF).
📹Tazama hapa: https://t.co/mOsZOwgrPJ
Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa leo Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu cha Urusi - Patrice Lumumba, kinachojulikana kama RUDN University.
🇷🇺🇹🇿 Rais wa Urusi Mhe. Vladimir Putin amepokea leo Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Kremlin jijini Moscow.
Baada ya mapokezi, Marais wameendesha majadiliano.
🇹🇿 🇷🇺 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameweka shada la maua kwenye Kaburi la Askari Asiyejulikana huko Kremlin ili kuwaenzi wanajeshi waliofariki katika Vita vya Pili vya Dunia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati akipokea heshima ya wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Vnukovo, Jijini Moscow kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa nchini Urusi tarehe 02 Juni, 2026.
WATCH | How President Samia Suluhu Hassan’s Historic Visit to Russia Began
🇹🇿🇷🇺 Tanzania’s President arrived in Moscow on Tuesday for a landmark state visit — the first by a Tanzanian head of state to Russia in 57 years.
The visit includes talks with President Putin and participation in the St. Petersburg International Economic Forum, where both nations are expected to deepen cooperation across key sectors.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka nchini, kuelekea Shirikisho la Urusi kwa ziara ya Kitaifa itakayoanza tarehe 3 hadi 5 Juni, 2026 kwa mualiko wa Rais wa Shirikisho la Urusi, Mheshimiwa Vladimir Putin
Kampuni la Kiserikali “Rosatom” linaendesha Mradi wa kielimu “Icebreaker of Knowledge”
Wanaokaribishwa kushiriki ni wanafunzi wa shule kutoka nchi 23 zikiwamo Tanzania wenye umri wa miaka 14-16.
Usajili utaendelea hadi Juni 3.
Kwa taarifa zaidi: https://t.co/WK3IukXiXY
⚡️ Given the continued terrorist attacks by the Kiev regime against Russian civilians, @mod_russia will be targeting Ukrainian defence industry facilities in Kiev.
Foreign nationals, including diplomatic missions & staff, should leave the city ASAP.
https://t.co/yUFj4twX81
✉️ President #Putin sent a congratulatory message to the Heads of State & Government of African countries on the occasion of #AfricaDay.
🤝 Russia attaches great importance to strengthening its traditionally friendly ties with African states.
https://t.co/6jxws8kgW6
🇷🇺🇹🇿 Balozi wa Urusi nchini Mhe. Andrey Avetisyan alikutana jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdullah.
💻 Walijadili masuala ya ushirikiano wa uwili katika fani za Tehama, usalama wa kompyuta na maendeleo ya kidijitali.
❗️Mradi wa mafunzo kwa wanahabari "RT Academy" unaosimamishwa na shirika la habari "Russia Today" utafanya warsha jijini Dar es Salaam.
🗓️ Warsha itafanyika tarehe 16 Juni katika @RCSC_Tanzania (Sea View Road).
📢 Wadau wa habari na mawasiliano wanakaribishwa.
🔴 #LIVE: Joint statements and signing ceremony of documents following the talks between Russia's President Vladimir Putin and President of China Xi Jinping
🔗 https://t.co/ZtsmiIzPRb
🔗 https://t.co/wcN1U3KyKg
🇷🇺🇨🇳 #RussiaChina
Mhe. Balozi Andrey Avetisyan akikutana na Katibu Mkuu wa @jumuiya Mhe. Stephen Mbundi wakati wa ziara yake ya heshima katika HQ ya EAC (Mei 15)
Mhe. Avetisyan aliwasilisha mwaliko wa Rais Vladimir Putin kwa Mhe. Mbundi kuzuru Mkutano wa Kilele Urusi-Afrika (Moscow, Oktoba 2026)
🇷🇺🇹🇿 Wenyeviti wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano wa Kibiashara na Kiuchumi Mhe. Maxim Reshetnikov, Waziri wa Maendeleo ya Kiuchumi wa Urusi, na Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Waziri wa Nchi, OR, Mipango na Uwekezaji, wakati wa kikao cha 3 cha Tume hii kilichofanyika leo jijini Arusha.
⚡️ Russian MFA Spox Maria #Zakharova:
A Note Verbale has been sent to all diplomatic missions accredited to @mfa_russia warning on timely personnel evacuation from Kiev.
Read in full: https://t.co/DikyMf3wT6
We are acting from a position of an inevitable response to aggression
🇷🇺🇹🇿 Balozi wa Urusi nchini Mhe. Andrey Avetisyan alikutana jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Mhe. Joel Nanauka.
Walijadili fursa za kuimarisha ushirikiano wa uwili katika sera ya vijana.