Tunaweza kuwapa vijana wetu "ajira-ujuzi" kama huu?
/
Can we give our youth this kind of easy-earn skills?
@dictrainer
Development Initiatives Community Africa
Inawezekana kabisa....
Tukiwapa Vijana ujuzi Ajira tukuwa tumewapa urithi mkubwa maishani mwao.
Vijana wengi wanahitaji aina hii ya ujuzi. Na ni ujuzi ambao una-trend kimataifa na kutolewa na wataalamu wazoefu.
Nimeona ujuzi huu ukizinufaisha nchini kama India n.k.
@dictrainer
@AllyHapi Kila kazi inao ujira wake. Na kikubwa ni kukua namna gani bora zaidi utaifanya kazi yako kuwa bora kwa ufanisi unaotakikana. Hatuuzi sifa za vitu, bali tunauza mahitaji ya watu!
Unataka kuwa mjasiriamali wa kijamii? Huu ni muhtasari wa mambo muhimu ya kuzingatia!
What to become an entrepreneur? Here are a shortlisted guide points to go through!