Leo nawaletea remix ya wimbo wa wanatuona nyani, ulioimbwa baada ya Sifa Bujune kukamatwa, unaokwenda kwa jina la Kenge furahia burudani hii mpenzi mpigania haki.
Ukiipenda chapa #Retweet
Polisi akiwapigia Kura CCM Uchaguzi wa 2020.
Anaingiza kura Haramu kwa nguvu na analindwa bila woga wala aibu, hizo kula ndio Matokeo ya kuwa na Wabunge na Madiwani wengi wa hovyo. Hakuna alieshinda kwa kura halali huko CCM.
πππ
Masomo ya Katiba imeweka kama PRECONDITION ya mchakato wa #Katibampya Lakini hayo masomo hayana CURRICULUM, hayana STRUCTURE na hayana namna ya kupima SUCCESS ya watu kuelewa.
Mwisho hawajatuambia MUDA wa KUHITIMU.
Masoma yanaweza kuendelea MILELE!
π
Nonsense kabisa
VIDEO:
Godlsten Malisa @MalisaGJ_ ashangazwa na kauli ya Rais @SuluhuSamia kuhusu Katiba mpya, "kama ni suala na utashi basi baada ya kifo cha Hayati Magufuli tungetumia utashi kumpata mrithi"
Leo ndo siku @TunduALissu anaenda kurudisha Ngorongoro kuwa sehemu ya #Tanzania βπ½
This quote will live on in collective memory - when Lissu told CCM that Ngorongoro is not a prison and its people have to enjoy all rights like Tanzanians! Standing up for the marginalized!