Nutritionist of the year 2024 & 2025 | Advocate for Health & Wellness | Passionate about: Nutrition Science | Diet Selection | Diet Education in Disease Mgt
Complementary Feeding:
Joyce Awuor – Clinical Nutritionist: World Health Organization talks about breast feeding for 2 years but complementary feeding brings about an infants need for solid foods at the age of 6 months #DayBreak@WillisRaburu
Awuor Joyce – Mtaalamu wa Lishe: Kuna vyakula vinavyo changia mishipa ya damu kuwa na mafuta. Lishe bora na mazoezi hupunguza hatari ya kuugua moyo #SemaNaCitizen
Obesity isn’t simply about personal choice. It’s shaped by the food environments, healthcare access, and systems around us. Real progress needs better food systems, smarter policies, and practical nutrition education.
💚 Healthier systems = healthier communities.
#WorldObesityDay
Awuor Joyce – Mtaalamu wa lishe: Vyakula vilivyopikwa au vinavyotengenezwa kiwandani (processed foods) ndio sababu kuu ya saratani, kwa hivyo ikiwa unakula vitu kama sausage, unapaswa kuikula mara chache tu #SemaNaCitizen
Awuor Joyce – Mtaalamu mshauri wa lishe: Sherehe bila soda si sherehe ni jambo ambalo tumezoea kutoka zamani, lakini si vizuri kwa sababu ina sukari nyingi na kemikali. Chaguo bora ni yogurt #SemaNaCitizen
Awuor Joyce – Mtaalamu mshauri wa lishe: Sherehe bila soda si sherehe ni jambo ambalo tumezoea kutoka zamani, lakini si vizuri kwa sababu ina sukari nyingi na kemikali. Chaguo bora ni yogurt #SemaNaCitizen
Awuor Joyce – Mtaalamu mshauri wa lishe: Juisi ya matunda, yogurt, mala, na smoothie ni baadhi ya vinywaji vya kupendeza ambavyo mtu anaweza kuchagua badala ya soda au pombe. #SemaNaCitizen
Today, we reaffirm the power of preventive care in pregnancy - protection begins long before birth. When mothers are supported with strong nutrition & timely interventions, babies are protected too. Prevention saves two lives at once.
#dietselect254#WorldAIDSDay2025#Pregnant
Siku ya Health Wednesday tunaye Awuor Joyce akizungumza kuhusu Nutrition for Colorectal Cancer patients. Ungependa kuuliza swali gani?
#MkamburiNaJaphe#HapaNdipo
Karibu ndani ya Health Wednesday na leo tunaye Awuor Joyce akizungumza kuhusu diet for healthy kidneys and to support dialysis. Ungependa kumuuliza swali gani?
#MkamburiNaJaphe#HapaNdipo
Ndani ya Health Wednesday tunaye Awuor Joyce-Consultant Nutritionist Dietitian tukizungumzia managing obesity with a proper diet.Una swali gani kwake?
#MkamburiNaJaphe#HapaNdipo
Joyce Awuor - Mtaalamu wa lishe: Watoto walio na autism wanapaswa kupewa vyakula vya asili na sio vyakula kama chipsi au vyakula vya sukari #SemaNaCitizen@mwanahamisi254
Health & lifestyle:
Joyce Awuor – Clinical Dietician: For people who have nausea, it’s advisable to have soluble fibre (fruits and vegetables) #DayBreak@WillisRaburu
Joyce Awuor - Mtaalamu wa lishe: Akili ya mtoto pamoja na viungo vya mwili vinakuwa katika miezi sita ya kwanza kwa hivyo ni muhimu mama azingatie lishe bora kwa kukula vyakula kama matunda, mboga, samaki, ndengu, maharagwe, kuku na nyama #SemaNaCitizen@mwanahamisi254