"Kitu kingine kwenye majukwaa ya kidijitali ni lazima ujue namna ya kudeliver on time, ukiwa na uaminifu wa kudeliver kazi vizuri na ontime, unatengeneza trust na wateja wanakuja kwa wingi @GillsaInt#DigitaHangoutSeries
"Kwenye Freelancing ni lazima ujua namna ya Kuapply Smart, kama kuandika proposal na kumconvice customer akuchukue wewe, kumbuka mko wengi mnaoapply hiyo kazi, so apply smart" @GillsaInt#DigitalHangoutSeries
"Freelancing platform ni kama Upwork, one the platform ambayo ukimaster vizuri, ukiwa na profile ni nzuri sana na inalipa" @GillsaInt#DigitalHangoutSeries
" Kitu Cha kwanza kabisa lazima uwe na skills, ukienda katika mitandao ya Freelancer tunaenda kuuza ujuzi wetu, ukitaka kujua kazi gani Huwa zinalipa mara kwa mara, pitia jukwaa hili na angalia kazi gani huwa zinademanded- Kisha nenda kajifunze hiyo skills" @GillsaInt#Digital
" Kitu Cha muhimu unachotakiwa kuwa nacho kwenye safari ya kidijitali ni tools kama cupcut, AI tools, Canva , simu na internet, huu ni mwanzo wa safari yako ya kidijitali " @GillsaInt#DigitalHangoutSeries
" Sisi kama Swahili, tuna mambo mengi, kwanza tunashare knowledge kupitia social media especially X, lakini pia Kampuni ya Swahili inaajiri vijana wanaodiliti na mambo ya kidijitali" @GillsaInt#DigitalHangoutSeries
Mambo Vipi? Do you know our speaker
Gillsant Mlaseko, the mastermind and founder of Swahili Digital, has been more than just a guideโheโs a real teacher whoโs helped sharpen digital skills and push boundaries to many young people in Tanzanian ๐ฅ๏ธ๐
Dont miss it !!! @GillsaInt
Kama Mtu unatafuta Njia ya ku hustle online inaanza na kuskiliza Nakumbuka event kama hizi 2020 to 2021 nmeattend sana.
Moja ilikua hii Nilitoka na nondo,kulikua na speakers wengi ila focus Yangu ilikua Digital tu.
Kwenye mambo ya kidijitali kiufupi "Nobody will be left behind"
Wiki hii kwenye Digital Hangout Series tutakuwa na Mtaalamu na Guru @GillsaInt akijibu "Maswali mengi vijana huuliza" kuhusu freelancing na ujuzi online ๐ข๐ฅ๏ธ
Swali la muhimu ni kwamba?! Umejisajili??
Jisajili ๐
Meet the Climathon Morogoro teams! Each group is working hard to solve real climate challenges in our community. From agriculture to waste management, theyโre bringing fresh ideas and local solutions. Excited to see what they come up with! #ClimathonMorogoro
We are so excited to join @GlobalKilimo for promoting and ensuring climate justice to our communities. Our role is to emphasize the leverage of Digital platforms and technology on promoting environment conservative action and climate issues in our communities .
Register Now๐