Away Kits za Young Africans ๐น๐ฟ ndani ya misimu miwili mfululizo zinawahusu wapinzani wao Simba Sc
โ 2024-25: Ilikuwa na namba 5๏ธโฃ baada ya kuwafunga mabao 5๏ธโฃ
โ 2025-26: Imeandikwa tar 8-3-2025 walisepa.
๐ฃ๏ธ"Abraham is a very established,good positioning and understanding as well
He knows exactly where he has to be,Where to pass a ball and overall in the team connections"
-Fadlu Davids, Simba SC head coach
๐จ ๐ฃ UPDATES ๐
โก๏ธ Azam Fc ๐น๐ฟ imekamilisha usajili wa winga Baraket Hmidi (22) kutoka CS Sfaxien ๐น๐ณ
Hmidi atakuwa mchezaji wa kwanza wa Tunisia ๐น๐ณ kucheza Ligi ya Tanzania.
Three-year deal signed โ๏ธ
โ It's all Done & Sealed ๐
๐จ ๐ฃ UPDATES ๐
โก๏ธ Pamba Jiji Fc imekamilisha usajili wa mshambuliaji Abdallah Iddi Pina kutoka Mlandege Fc ya Zanzibar.
โก๏ธ Pina ndiye Top Scorer wa Ligi Kuu ya Zanzibar 2024-25 akiwa na mabao 2๏ธโฃ1๏ธโฃ
โ It's all Done & Sealed ๐
Updates ๐
โก๏ธ Young Africans ๐น๐ฟ imesaini mkataba wa udhamini na Kampuni ya Haier wenye thamani ya Tshs Bilioni 3.3 kwa mkataba wa miaka mitatu.
โ Logo ya Haier itakaa kwenye mkono wa jezi upande wa kushoto.
Tabora Utd inashusha wachezaji wa kigeni.
โ Japhet Opubo (GK) ๐ณ๐ฌ
โ Palai Mba Manjie ๐จ๐ฒ
โ Charles Okafor ๐ณ๐ฌ
โ Mohammed Abdul Rahaman ๐ฌ๐ญ
โ John Lazarus ๐ณ๐ฌ
โ Fode Konate ๐ฒ๐ฑ
โ Jose Anthony ๐จ๐ฎ
โณ Bado hawajamaliza.
๐จ ๐ฃ ๐ฆ UPDATES ๐
โก๏ธ Simba Sc ๐น๐ฟ inatarajia kufanya tamasha la SIMBA DAY Septemba 7, 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa ๐๏ธ
โ Tamasha hilo litafanyika siku nne kabla ya mechi za Ngao ya Jamii zitakazofanyika Septemba 11 - 14.
OFFICIAL:
CAF has released the latest club rankings ahead of the 2025/26 CAF Champions League and Confederation Cup preliminary round draw, which takes place tomorrow in Tanzania. ๐๐๐น๐ฟ
#CAFCLwithMicky#CAFCCwithMicky#AfricanFootball
๐จ๐ฃ UPDATES ๐
โก๏ธ Winga wa klabu ya Simba Sc ๐น๐ฟ Edwin Balua amejiunga na klabu ya Enosis Union ya Cyprus ๐จ๐พ kwa mkopo wa msimu mmoja.
โ Done & Sealed ๐
๐จ ๐๐ฅ๐๐๐๐๐ก๐: Klabu ya Yanga imealikwa kucheza mashindano ya 4-Club Champions League Mwaka huu kuanzia ujao ikiwa ni sehemu ya Pre Season yao. Mashindano hayo yatahusisha Klabu ya African Stars Bingwa wa Namibia,Petro de Luanda Bingwa wa Angola na Lioli Bingwa wa Lesotho.
โ ๐๐จ๐ง๐ ๐๐๐๐ฅ:
Hussein Kazi signs for Namungo FC! โ๏ธ๐น๐ฟ
The former Simba SC defender joins on a one-year deal ahead of next season.
A new chapter begins. ๐ฅ
#Transfers | #AfricanFootball
๐จKocha mkuu wa Raja Casablanca Lassaad Chabbi haridhishwi na Wachezaji wawili wa kigeni Pape Ousmane Sakho pamoja na Mouhsen Bodda
Ameomba uongozi wa klabu uachane nao
๐ฌ Faida ambayo Azam wanakwenda kupata kwa Ibenge ni kuwa watakuwa katika nafasi nzuri ya kupata mastaa wengi wazuri kutoka DR Congo. Anawafahamu mastaa wengi wazuri kutoka huko na katika siku za karibuni inaonekana soko lake DR Congo huwa linatuletea wachezaji wazuri kuliko kutoka katika mataifa mengine. Labda kwa sasa wanashindana na Ivory Coast.
.
Faida nyingine ambayo Azam wanakwenda kuipata kwa Ibenge ni kwamba anaufahamu vyema mpira wa Afrika ndani na nje ya uwanja. Wakati mwingine ni bora kumchukua kocha kama Ibenge kuliko kuleta kocha bora kutoka Ufaransa au Ujerumani ambaye hafahamu vyema misingi ya soka la Afrika, siasa za mpira ndani na nje ya uwanja.
.
Na sasa tunamsubiri Ibenge kuona namna ambavyo ataitengeneza Azam. Haitakuwa kazi rahisi sana. Kuna sehemu mbili ambazo tunasubiri kwa hamu kuona akiisuka Azam. Kuwa nzuri ndani ya ligi yetu na katika michuano ya kimataifa.
.
Akitufanyia mambo ya Pyramids tutaamini kweli Azam huwa inakwama katika soka la ndani kwa sababu ya fitina za hapa na pale.
.
Nisisahau pia kuipongeza familia ya Bakhresa. Namna ambavyo wanaipambania timu yao. Pesa sio kila kitu. Wakati mwingine moyo unahitajika zaidi. Wangekuwa watu wengine Azam ingekuwa IMEKUFA zamani. Wao wanapambana na inafurahisha kuona hata kama hawatwai mataji mara kwa mara, lakini wanaleta ushindani mkubwa.
โ Legend, Edo Kumwembe.
๐จ๐ฃ UPDATES ๐
โก๏ธ Golikipa Moussa Camara ๐ฌ๐ณ atasalia Simba ๐น๐ฟ kwaajili ya msimu ujao wa 2025-26.
Camara alisaini misimu miwili but ili kuutumikia msimu wa pili wa kulikuwa na kipengele kinachotegemea performance yake.
โ Maamuzi yamefanyika na ataitumikia Simba hadi 2026.
๐จ๐ฃ UPDATES ๐
โ It's Over, Valentin Nouma ๐ง๐ซ ameondoka Simba Sc ๐น๐ฟ baada kuitumikia msimu mmoja tu.
โก๏ธ Ameondoka kwa maamuzi yake baada ya kukosa nafasi ya kucheza mara kwa mara hali iliyomfanya apoteze nafasi timu ya Taifa.
๐จ๐ฃ More Updates ๐
โก๏ธ CS Sfaxien ๐น๐ณ wamepokea ofa ya Yanga Sc ๐น๐ฟ ya kumhitaji Balla Moussa Conte (21) ๐ฌ๐ณ kama nilivyoripoti jana.
โก๏ธ Mazungumzo ya Vilabu vyote kuhusu mfumo wa ulipaji yanaendelea na mchezaji tayari amekubali.
โณ Deal imminent ๐ณ now, it's up to Yanga.