✍️Hawa wawili nao kuanza pamoja kwangu bado sishawishiki
Wote wanaenjoy dictatorship na kucontrol mchezo
Wanafurahia kuugusa sana ingawa Kante ni proggressor mzuri
Infact they are all DLM ndio maana nilihint kwa Semfuko ambae anaweza kuongeza idadi ya attackers eneo la juu
✍️Singida BS wanatruggle dhidi ya mpinzani anayejilinda na transition vilevile
Licha ya Wachezaji wenye ubora mkubwa ila wamekuwa Rahisi kufikika langoni kwao Hii inanipa taaswira wanaenda kupoteza vs CR Belouizdad
Belouizdad ni timu inayojua kutumia madhaifu ya mpinzani
✍️Yanga SC vs Far Rabat ni Mpinzani wanayemmudu ila wanapaswa kuongeza umakini na kupunguza mapungufu Yao
Hasa kwenye transition na mipira ya kutenga ambayo ni strength kubwa ya mpinzani
Pia ni timu isiyoufungua sana mchezo hvyo itahitajika uharaka na maelewano kuifungua