Wanasema matibabu sio ya Muungano wakati Tanganyika kuna Wazanzibar wanafanya kazi kwenye Serikali, Taasisi na Mashirika ambayo hayapo katika Muungano na wala hatuna noma
Binafsi haya mambo yananikera sana,,, Wakizoea baadae watabaguana wenyewe kwa wenyewe Wapemba na Waunguja!!
DAR: Aliyekuwa Mbunge wa Kisesa na Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina ameyasema hayo Juni 1, 2026 alipokuwa akiongea na vyombo vya habari.
Nini maoni yako Mdau?
Shiriki mjadala https://t.co/jxlz4DK9IM
#JamiiForums#Uwajibikaji#JFDemokrasia
Huu ujumbe umeniliza sana 😭😭😭😭
Maumivu ambayo anapitia huyu Kaka na familia yake Mungu pekee ndo anaweza kuelewa, haya machozi ya Watanganyika hayawezi kumuacha salama Nduli Idd Amin na wote walioshiriki kuuwa ndugu zetu Oktoba 29, 2025
BREAKING: VIDEO MPYA. NEW VIDEO EVIDENCE OF THE VIOLENCE THAT TANZANIANS ENDURED DURING THE INTERNET BLACKOUT UNDER SAMIA SULUHU ORDERS.
WATANZANIA AMBAO MLIKUWA MNAOGOPA KUACHIA VIDEO, PLEASE NITUMIENI ILI DUNIA IONE ILI TUPATE MSAADE WA NJE!!!!! WhatsApp +1 424 537 3057