@emabilly2001@CRDBBankPlc Mzee una mfanyakazi wako CRDB ?? Bank zinatoa staff of the month, wanavigezo vyao mara kwa mara kwa kuzingatia Huduma, Maadili na uwezo wa ku excute job descriptions zao, team work n policies. Unaweza ukawa umehudumiwa vizuri ila mengine akawa hajakidhi.
@killo_killo11 Heheh!! Waliweka jeshi kufundisha uzalendo na ukakamavu, ila walichozarisha ni tofauti. Pia waliaminishia ukiomba Mkopo kama haujaenda jeshi haupati.
@Kariakoo_ Huyu dogo atakuwa anauza Siso, Unaona mkono jinsi anachambua Hela bila kuzitoa, anatumia intelijensia ya juu sana kutambua pesa kwa kuzipapasa mfukoni.
@mky2801@chibuga63@TravisKitengo_ Asante !! Hii sasa imemaliza sintofahamu. Ikiwa kweli watapewa hizo pesa, since nimeshakuwa mwanakamati, nafahamu hii michezo ya zawadi za cheque .