Allahumma yassir wala tu'assir rabbi tammim bil khair.
“Ya Allah, please make things easy for me and don't make things difficult for me. Ya Rabb make it end with goodness.”
YUSUPH alikubali Kula GHARAMA ya kukaa mbali na familia yake ya miaka mingi ili aifikie HATMA yake.
YUSUPH alikubali Kula GHARAMA ya kuwa mtumwa ktk nyumba ya Potfa ili siku moja awe MKUU ktk HATMA yake.
YUSUPH alikubali Kula Gharama ya kutolala na mke wa Boss wake Potifa ili kuifikia HATMA yake!!
YUSUPH alikubali kula GHARAMA ya kukaa ndani ya Gereza kwa miaka kadhaa lakini AKIISUBIRIA HATMA YAKE!
Lakini ndani ya GEREZA hakuacha kuonesha UWEZO WAKE, ambao MUDA SAHIHI ulipofika, Uwezo wake ULIMTAMBULISHA kwa Wakuu.
WAKATI ULIPOFIKA, HATMA YAKE ILIKUWA NJEMA KWA FAMILIA YAKE NA TAIFA LA UGENINI NA TAIFA LAKE!!
Nimeimarika na NINASIMAMA TENA. Pamoja na mengi ninayopitia, lakini SITOKIMBIA KULA GHARAMA ZA KUIFIKIA HATMA YANGU.
Na Kila kilichopotea KITARUDI!
Chuki, husuda, wivu na kinyongo haviwaumizi wengine—vinamuumiza zaidi mwenye kuvibeba. Usijidanganye kwamba ni sumu kwa wengine; ni kama kunywa sumu ukitegemea mwingine afe. Ukweli ni rahisi: wewe ndiye unaathirika kwanza, kabla ya yeyote.