Kwa Mahitaji ya Viwanja,Mwanza, Dodoma,Kibaha,Chalinze,Dar,kwa biashara,Makazi,Taasisi,nicheki,kwa miaka 2 nimetengeneza network ya Madalali walionyooka,Wataalamu wa Ardhi,Wapimaji,Watu wa Hatimiliki na wadau muhimu kwenye Value chain, nitumie, Nipo tayari kuiltumika.
0762344677
Akaangwe au aje fresh umle supu?
Tupigie kwa mahitaji ya Sato na Sangara kutoka Mwanza.
Fresh as they come.
Tupigie 0762344677 🙏🏼
Good morning good People, ikawe Kheri leo kwenye shughuli zetu 🤛🏼
Wakuu,kituo cha Salama Orphanage kilichopo Bunju Sokoni kina uhitaji wa mambo mengi kwa ajili ya kuhakikisha watoto wanaishi kwa furaha.
•Wanaomba kulipiwa bili za maji
•Wanaomba kusaidiwa FUTARI mwezi huu
•Wanaomba madaftari kwa ajili ya watoto
☎️0712867220 kwa maelezo zaid
Kwenye group la mchezo wa vyombo bado watu wawili tuanze, Tupo watu 10, kila siku 3000
Kupokea vyombo ni kila mmoja akimaliza, utapokea vyombo vyovyote unavyohitaji vya 210,000
Kama upo serious join👇
https://t.co/uionv1kxGm
📍Riverside karibu na Micasa Lounge, mkoa tunatuma
Mwenyezi Mungu naomba baraka zako zitajirishe riziki zangu bila huzuni wala majuto.
Nipe amani katika kazi yangu na katika jitihada zangu.
Nipe hekima,bidii na uaminifu.
Fungua milango ya fursa,leta watu sahihi katika safari yangu, na uniongoze katika maamuzi yangu.
Ameen 🙏🏼
Mnaikumbuka Familia ya Baraka, ana familia ya watoto wawili na mke Mmoja, hali ya Baraka ni ya ulemavu hawezi kufanya kazi ngumu, maisha yake yanamtegemea mke wake ili aweze kuishi ila kunamna tutamsaidia huko mbeleni, leo nimemleta kwenu na jambo jingine.
Bado 143,000 aweze kusajiliwa
Kama una 2000,5000, 10,000
Tunaomba utusaidie Binti huyu aweze kufanya mtihani yake ya semester ya kwanza, mwisho wa kujisajili ni kesho
Control number 991460533531