@dir_wyclif#tabasamu 02
umasikini sio kukosa pesa, vitu, au chochote unachotaka kwa wakati BALI umaskini ni kukuso UPENDO,!
kama Huna upendo we ni maskini na aliyekuwa hana hela ya kula "
@dir Wyclif
#tabasamu
Ukishatambua kuwa unaishi na mpumbavu, hakikisha unakuwa mpumbavu sana zaidi yake ,
Itakusaidia kujua, na kuishi nae kwa mda mrefu sana,
#ogopa anaejiweka mpumbavu
@dir wyclif
"Kila furaha unayoiona kwa mtu ,basi kuna story ya huzuni nyuma yake,"
#tabasamu kwa kila changamoto, tabu,shida ,njaa,manyanyaso,kusengenywa,lakini hata kutendwa , just tabasamu ndio kinga#
@dir wyclif
" upendo ni hali ya kumthamini asiyekuthamini, kumpenda asiyekupenda, kumjali asiyekujali na kujinyenyekeza kwa ajikwezea na mwisho kuwa mjinga kwa mwelevu"
<<& Ishi kwa logic>>>
>tembea huku ukiwa unaangalia just,kwani barabarani kila mtu anangalia mbele,
Hivyo we unaengalia juu kila mtu atakuona na atakupisha ila we hautawaona<
#dirwyclif#greenlifeyouth#wecharmafricanyouths
""Usipoteze mda, Mali,watu,heshima na utu kwaaajili ya kutaka kumuoneshea mtu ukweli,
Tulia kila ukweli una mda sahihi wa ukweli wake na ukweli hauishi mda ""