π² Former Arsenal midfielder Denilson on Instagram: βWhat a joy to see Arsenal back in a Champions League semi-final. Congratulations to the players for this gift to this passionate fan. Iβm sure we can go further. Go, Gunners!! π«Άπ΄βͺοΈπβ
π¨ UPDATE:
Wachezaji wawili wa Simba Sc (Yusuph Kagoma na Shomari Kapombe) wataikosa mechi ya kesho ya NBC PL πΉπΏ dhidi ya Fountain Gate Fc kutokana na kutumikia adhabu ya kadi za njano.
βKiukweli mimi sina kinyongo nae (Inno Loemba), nilichukulia ni kama mchezo na hata yeye alinitafuta. Sina kinyongo nae, ile ni kazi yake. Safari hii kwenye WAPE TABASAMU anaweza kuwepo kwenye timu yangu.β
Dickson Job, Beki wa Yanga
π¨UPDATES, MAANDALIZI ya 26/27
Uongozi wa Simba SC umeanza kusuka mipango ya msimu ujao wa 26/27 na tayari wamekubaliana maeneo ya kuongezea nguvu
Usajili utagusa; Fullbacks, Kiungo (6&8), Strikers (Mgeni & Mzawa)
β Kelvin Nashon ni MNYAMA
π¨ ππ₯πππππ‘π: Cesc Fabregas has ELIMINATED Napoli from the Coppa Italia and have reached their FIRST Semi-Final since 1985/86!
AFCON 2025 | MOROCCO π²π¦
Baada ya dakika 90 , Legend El Hadj Diouf amemuita Sadio Mane alafu amempa Kumbato.
Kwa faida tu nje ya mada β¦β¦ Siku ya Jana Legend Diouf alifanya interview akasema yeye pia haungi mkono mpango wa Sadio Mane kuwa hii ni AFCON yake ya mwisho atatumia muda wake kujaribu kumshawishi ili awepo AFCON ijayo.