🇺🇸🇪🇺🇮🇶 Marekani na NATO ziliomba upinzani wa Iraq usitishe mapigano kwa saa 24, wakakubali.
Abu Mahdi al-Jafari", msemaji wa jeshi la Saraya Awliya al-Dam, alitangaza katika taarifa kwamba Wamarekani na NATO wameiomba serikali ya Iraq kusimamisha mapigano kwa masaa 24 kutoka
Spika wa Bunge la Iran Mohammad Qalibaf anaripotiwa kuwa ndiye anayejadiliana na Marekani.
Jamaa ameona kwanini Aache ndala mapema hivi
Bora ajari raia wake kuliko kuwaacha wanaumia huku haya mambo yanaweza kuongeleka
Safi sana spika wa bunge huo ndio ushujaaa sio kuliangamiza taifa.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi 'Sugu', ametoa kauli nzito akidai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikushinda uchaguzi kwa ridhaa ya wananchi, bali kilipora ushindi huo kwa kutumia nguvu ya mitutu ya bunduki.
Sugu ameyasema hayo leo wakati akifafanua msimamo wa chama chake kuhusu michakato ya uchaguzi nchini na hali ya demokrasia ilivyo sasa.
Sugu amesisitiza kuwa mshindi wa kweli wa uchaguzi ni lazima aapishwe hadharani mbele ya hadhara ya Watanzania ili kuonyesha uhalali wa kura alizopata.
Amesema kitendo cha kutumia nguvu ya dola na silaha ni kielelezo tosha kuwa CCM haina nia ya dhati ya kufanya uchaguzi huru na wa haki, jambo ambalo liliwafanya CHADEMA kuona haina tija kushiriki katika baadhi ya michakato hiyo.
Akirejea matukio yaliyotokea Oktoba 29, Sugu amedai kuwa vitendo vilivyofanyika siku hiyo ni vya kipekee na havijawahi kushuhudiwa hata katika nchi zinazotajwa kuwa na mifumo migumu ya kidikteta duniani. Amesema uporaji huo wa matokeo ulioambatana na matumizi ya nguvu kubwa ya vyombo vya dola ni doa jeusi katika historia ya siasa na utawala nchini Tanzania.
Mwanasiasa huyo mkongwe amehitimisha kwa kusema kuwa CHADEMA itaendelea kusimama imara kudai haki ya wananchi, huku akibainisha kuwa chama hicho kimeshajijengea mizizi ndani ya mioyo ya watu kiasi kwamba hakihitaji kubebwa na dola.
Amesema mapambano ya sasa ni kuhakikisha mfumo wa uchaguzi unabadilika ili kutoa washindi halali wanaotokana na sanduku la kura na siyo nguvu ya silaha.
Rais Trump ameagiza Jeshi la Marekani lisipige vinu vya Nyuklia na Vituo vya Umeme Iran baada ya kufanya mazungumzo na viongozi wa Iran. Trump amesema amefanya mazungumzo mazuri sana na Iran na yamezaa matunda. Tukisema hii Vita si ya DINI bali maslahi ya nchi ndo kama hivi sasa.
ANAANDIKA PROFESA ANNA TIBAIJUKA
MAWAKILI WA CHADEMA WAKIWASILI DODOMA KUTETEA CHAMA CHAO: Ni haki kwa mlalamikaji yeyote kutafuta haki yake mahakamani ila historia inaonesha matumizi ya mifumo ya mahakama kutatua migogoro ya vyama vya siasa hayajaonesha mafanikio ya kudumu barani Afrika. Mfano mashuhuri ni ANC iliyopigwa marufuku mwaka 1960 na Makaburu, ikalazimika kufanya shughuli zake kwa siri, takriban miaka 32 viongozi wake wakifungwa au kukaa uhamishoni.
Matokeo ANC ikajijengea uhalali mkubwa ndani na nje ya nchi na hatimaye, Mfumo wa ubaguzi ulipoanguka, ANC iliibuka ikiwa na nguvu zaidi na kushinda uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia mwaka 1994 chini ya uongozi wa Nelson Mandela. Jaribio la kukiondoa chama hicho kupitia sheria liliishia kukiimarisha.
Pili ni Senegal, chama cha PASTEF kilipigwa marufuku mwaka 2023. Hatua hiyo ilichochea hisia za wananchi dhidi ya kile kilichoonekana kama ukandamizaji wa kisiasa, na mwaka mmoja tu baadaye, 2024, viongozi wanaohusishwa na chama hicho walishinda urais. Tukio hili linaonyesha jinsi hatua za kisheria zinavyoweza kubadili chama cha upinzani kuwa alama ya mapambano ya kisiasa.
Tatu, Gambia, wakati wa utawala wa Yahya Jammeh, vyama vya upinzani vilikumbana na vizuizi vikali, ikiwa ni pamoja na kupigwa marufuku. Hata hivyo, vyama hivyo vilijipanga upya, vikaungana, na hatimaye kushinda uchaguzi wa mwaka 2016. Hivyo basi, ukandamizaji haukuondoa nguvu zao bali uliwafanya wawe na mshikamano zaidi.
Tanzania tunatambuliwa kuvisaidia vyama vya ukombozi wa Afrika hadi uhuru wao, huku vikiwa vimepigwa marufuku na tawala za kikoloni ikiwemo: ZANU-PF ya Zimbabwe, MPLA ya Angola, na FRELIMO ya Msumbiji.
Matumizi ya mahakama katika ushindani wa kisiasa hakulipi. USHAURI WANGU TUJISAHIHISHE NDANI NA NJE YA VYAMA VYETU kushindania uongozi bora hasa wakati huu tunapohitaji MARIDHIANO na MSHIKAMANO ili kulileta taifa letu Pamoja.

Mnaokaa na siri nzito za kuua na kudhulumu uhai eti mnafanya kazi serikalini ujumbe wenu kutoka Padre Kessy
Ni kwamba ITAKUTAFUNA‼️
Sasa msikilizeni mjisahihishe mkiwa bado hai nje ya hapo kwisha habari! Na msimtafute kumteka washenzi ninyi
#TutaelewanaTu
Kuna posti niliwekaga instagram kipindi cha uchafunzi baada ya Polepole kutekwa nikawaambia kuwa CCM walikurupuka sana kumteka Polepole sababu alikuwa anaenda kuwasaidia mno alafu nikawaambia naomba msave hii posti. Alie save ile posti naomba anitumie. WhatsApp +1 424 537 3057
Mr.Chairman sir!I wish you a very happy moment as you continue languishing in prison for not commiting any crime whatsoever .Be courageous God will make it anytime. You will be free at last.
Yani BAKWATA wanaona waitumie siku ya EID kumpongeza MAFWELE na DIKTETA JIKE.
Tukisema hawa MIKUNDU walishinda njaa siku 30 tutakuwa tunawaonea? Hii dini kama PEDI YA SAMIA TUU.
Mnataka kumuua MH. LISSU huko Gerezani afya yake inazorota.
Huu Ushenzi Wewe @SuluhuSamia na genge lako mnapaswa kumuachia HURU, Mh. Lissu.
#FreeTunduLissu