@privaldinho Hata Neymar hakubeba ballon dor ila kwa wachezaji watatu wakubwa duniani wenye uwezo wa kumzidi Neymar labda Ronaldo , Messi , na kwambali Benzema laknj wote tunajua ufundi wa Neymar ila ndio ivyo hiyo tunzo sio ndio inafanya mchezaji Kubora sna ipo kibiashara na kukuza brand
@George_Ambangil Hii Mali Sana hata mmi niliona deal lake kuja man u mapema maana an fit kwenye mfumo wa coach aseee daaah man u hii haitaki Mali nzuri kazi kwenda kusajili mazourai tu ......