@zoetjesheeftX Kwamba alikua akimukagua kila siku kwani huko shuleni pia alikua anashinda nae au kwakua alikua hatoki jioni basi ndi ajua hakuliwa before.
@RevocatusMagum1 Hizo ndo tabia za timu ndogo ko usilalamike kwani wakati unachagua kushabikia timu mdogo ambayo bado inajitafta hukuona timu kubwa za kushabikia?
@Elsukay0 Hata dube angefikisha kama kigezo kilichotumika ndio hicho basi yanga ya msimu ujao itakua butu zaidi kwa sababu kama mtu kafunga goli 10 timu zenyewe ni wale akina js kabylie basi humu hakuna mchezaji.
@cleansheet_1 Sasa kuleta kocha mweusi si afadhali angeachiwa huyo huyo msomali but akasajiliwa wachezaji wenye maana mbona mpira wake mzuri TU na kashinda Kwa dominance nzuri tu
@humbleQueen02 Viungo vingi wengine matumbo yanawauma,pia inakata Ile hamu yenyewe ya kula kwa sababu misuli inakua ishaanza kulegeza kamba,ndo hapo unajikuta unakiangalia tu meno yamekufa ganzi,kwahivyo andaa wastani apo ndo utakula vya kutosha
@RevocatusMagum1 Yani Simba mkiwa kwenye vijiwe vyenu vya kahawa mnajazana ujinga utafikiri yanga ni namungo mnavyoiongelea wakati uhalisia nyie wenyewe hiyo taarifa imewaumiza.