As the UK-Africa Investment Summit kicks off in London today, I was invited to @bbcswahili this morning to discuss how UK’s partnership with African nations will help build a secure and prosperous future for all our citizens. Link to the full interview; https://t.co/sRtoAf9JqO
#DSM
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna pamoja na ujumbe alioambatana nao kutoka Benki hiyo walipotembelea Makao Makuu ndogo ya Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam
Tumezindua rasmi mfumo wa majaribio ya kidijitali (Sandbox environment) kwaajili ya vijana wabunifu kujaribu suluhishi zao za kiteknolojia.
#AmshaNaFursa#NMBSandBox
I’m always excited to be part of the conversation around empowering women. As the world celebrates #IWD2021 I strongly believe that the pursuit of gender equality will ultimately build a foundation to achieve a peaceful, thriving and sustainable world.
#ChooseToChallenge#IWD2021
Tumeumaliza mwendo! Proud to be part of #NMBBimaMarathon. Mapato ya mbio za km 5 yatatumika kusaidia watoto wenye saratani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili! @iEdwn@NMBTanzania
Often, too much choice overwhelms rather than frees us.
You know this feeling, right? Not just Netflix - the paralyzing feeling you get when you have toooo many options to pick from.
Here's a thread on why this is the case, and how you can beat the choice paradox.
Lipa Ulipo 📍
Kupitia mifumo yetu ya kidigitali na mawakala zaidi ya 7000 nchi nzima, tumekurahisishia ulipaji wa kodi zako zote.
Piga *150*66# au Pakua NMB App, ama tembelea NMB wakala karibu yako. #LipaUlipo#NMBKaribuYako
Taifa lenye nishati bora ya umeme, ni taifa lenye mwanga mzuri kwaajili ya maendeleo ya baadae. Tutaendelea kushirikiana na Serikali katika kuhakikisha Tanzania yote inaangazwa na kuongeza uwezo wa uzalishaji kupitia nishati ya umeme. #KatikaUjenziWaTaifa#NMBKaribuYako
Maendeleo ya taifa huchangiwa kwa kiasi kikubwa na huduma bora za afya. Tunashirikiana na serikali katika kuboresha maeneo mbalimbali yanayomgusa Mtanzania kiafya. #KatikaUjenziWaTaifa#NMBKaribuYako
@Nnauye_Nape Hii vita ni uthibitisho kuwa ubishi bila mipango hauna maana. Uingereza ilishinda kwa kishindo huku mwanajeshi wao mmoja tu akijeruhiwa. Wazanzibar 500 walidhurika wakimlinda Sultan Khalid ambae aliishia kukimbia baada ya dakika 45 tu za mapambano 🤦♂️