@MariaSTsehai@MagufuliJP Serikali haitakiwi kua na siri. Ni wajibu wa serikali kujulisha wanamchi wake juu ya serikali yao. Huwez wanyima watu haki yao, eidha uwaeleze ukwel, ama uwaache wafikirie vile wanavyoona inaleta maana kwao. Hvyo km wameamua kutotoa taarifa basi hakuna budi kubashiri vyovyote.
@MariaSTsehai@tanpol Tanzania tumezid maneno mengi hakuna vitendo. Sasa dada Maria with all due respect, ushaongea sana, so mpk sasa wadhan hayo maneno ndy yatarudisha watu, ama? Inabidi ifike mda tufanye maamuzi. Repeating the same thing expecting different results it’s stupidity.
@swahilitimes Daaah, inasikitisha sana. Yan kiongoz mkubwa hadharan kabsa anaamua kuongea vitu vya uongo. Kweli hawa ndio viongoz wetu ambao twawategemea, Mungu ibariki nchi yetu, na utusaidie. Mpk anatunga story, kwel ugopa uchu wa madaraka aisee. Na anaenda kulala vzr kabsa.
@Getrude_mollel Kwan aliyekwambia UANDAMANE, alkwambie ni kwa faida yake ama yako? Hilo watu hamlifikirii. Mtu anaweza kukimbia nchi maana yake hana mattizo, ankwambia wewe maskini ambye wahitaj mabadiliko. Maandamano ni kw faida yako, sio ya alyekwambia na akikimbia.
@Daktariwayanga@olkompis Usichanganye hekima na ufala/uoga. Kuna upotoshaji sana ktk taifa letu, hekina ni kitu ambcho mtu unajiheshim na huwez achia mtu mwengine akupande kichwan. Ukiruhusu hilo, ni dhairi kua ata wewe mwnyw hujiheshim.
@MariaSTsehai@MariaSTsehai yan kwenye kuomba tu dada hapo ndio wanishangaza. Ni kwamba unafanya kitu kile kike over and over againg ukitegemea different results. Huu ni ujinga kabsa. Yan mtu ambye ktk wakati huu ansema NAOMBA naona km hana shughuki ya kufanya. Watu hawawez kukuoa unachotaka.
@swahilitimes Wajomba…hiyo hamjaelewa, yan wanatest mitambo huko Znz, ikipita bila wanachi kuleta balaa, inakuja Tanganyika, mwaka 2030 utaskia wagombea flan wa urahisi wanasema mgombea alyemadarakan tumeridhika nae na aendelee, haijalish katiba inasemaje. Nchi ndio inapotea hvyo tena.
@MariaSTsehai Sasa dada Maria kwanini huweki jina la huyo police, ili watu tujue ni nan, na km kuna uwezekano wa kumfata kwane atupe taarifa, maana yeye ndio alyemchukua na anajulikana, kwann tufichefiche?
@airtel_tanzania@HecheJohn Haya mashirika ya sim ya africa hayana uadilifu ktk kuzuia na kuhifadhi faragha za wateja wao. Dawa yao ni kuwa expose na kuyashitak, yanaendeshwa na serikali km vibaraka wao vile.
Unajua kinachoniumiza sana ni mimi kufikiria tupo kwenye mazingira salama, nimekua disappointed sana, yaan sana. Sijui kama watoto wangu wapo wanaishi na kukua sehemu salama. Toka Daniel (@chonchorio99033 ) ametekwa leo ni siku ya 22, kweli tunahangaika mpaka sasahv hatupati majibu yaliosimama. Yaan kweli kabisa tumekosa msaada wa hichi kitu? Kweli leo mm nije niaminishe wanangu na watoto wa daniel kua tupo sehemu salama?? Lets say labda ni muhalifu baba wa watu, kweli hana haki yoyote? Unajua maswali ni mwengi sana kwenye akili yangu, familia inapitia wakati mgumu sana especially tunapokosa habari za uhakika wa hili swala. Media hazina msaada huo mnavyodhani. Wanakuja kukuhoji ila hawataki kupublish hili swala. Sijui tu ila🙌🏼🙌🏼 nimenyoosha mikono. Media ni chache zenye wali publish hii issue ila kweli wanashindwa follow up? Kwakweli nilivyokua naipenda Nchi yangu kwa moyo wote nilivyokua proud na kizazi changu kilipotoka ila kwa mara ya kwanza nimetamani kuhama Nchi sababu ya usalama wa familia zetu.
Ni siku 9 sasa kikukweli mpaka sasa sijapata majibu ya kuridhisha. Natamani niseme mengi sana ila nimeyasema kwa Mungu maana yeye ndio mwenye mamlaka kwenye hii dunia na atatenda kwa uwezo wake. Nachoomba ni daniel chonchorio arudi nyumbani salama, familia bado inamuhitaji sana, watoto wake wanamuhitaji kuliko mtu yoyote kwa sasa.
Daniel ni baba wa watoto 7, wote hao mnafikiri wanahali gani? Fikirieni basi hata hilo tuache mengine.
Basi likitokea jambo, binadamu tunapata hapo hapo pa kuchapia. Na hamuwezi kuelewa maumivu mpaka pale jambo likikukuta. Basi tumieni hata huruma ya ubinadamu tu, sio hata nguvu nyingi. Imagine leo hili jambo litokee kwenu ama ndio awe baba yako utakuaje? 9 days hujui mtu amekula au vipi, hujui ana hali gani? Hatujui chochote juu yake?
Anyway Ya Allah, let him come home safe. That’s all I want for Eid.
#BringBackdanielChonchorio
#WherelsChox
#FreeChox
#FreeChonchorio
#FreeDanielChonchorio
#BringBackdanielChonchorio
#JusticeForChonchorio
@godbless_lema Anamsamehe kua alkua anakula hela zake, ama? Huyo alkua anafunya mali za wananchi. Sio za Samia. Hii nchi aise waTz bado sana, tupo wapumbavu. Yani tunashindwa kuelewa kua hela zinazochezewa ni mali na jasho letu.
@fatma_karume Hao sio police, hao ni wahalifu. Nashindwa kuelewa kwann watunaruhusu haya kuendelea. Mtu km anachukuliwa namna hyo inabidi wanachi wapige hao watu km mbwa, sababu hapo hakuna sheria yyte ilyofatwa. Imefikia wakat tuhamasishe hilo na sio kusema wananchi wafate sheria.
@Rydx_017 Inasikitisha sana kuona watanzania tunashindwa tetea haki zetu kwa uoga. Sheria ikifuatwa haki utendeka, hao wakamataji hawajafata taratibu na sheria, hivyo hapo walkua wanavunja sheria, huo sio ukamataji. Na sisi tumekaa kimya tu. Tz sio wa kukwamka leo wala kesho.
@zekritic@hamisthefuture@godbless_lema 🤣🤣umegonga msumali panapo hitajika mkuu👌🏽alaf kwa a grown up man kujiita “the future”🤣unaweza kujua tu level yake ipo mahala gani.