Tuwe na tabia ya Kujenga hoja kwa proof Ili tuweke taswira sahihi ya mambo! - Nimesema kwa mtazamo wangu kulingana na kila ninapopita wapo! Ambalo ni jambo jema la kupigia mfano - ELIMU ELIMU ELIMU- Long live E.N. Lowassa
Leta uhakikisho wako (Proof) kama kulikua na ukabila na udini! Kwakua Kabila fulani walikua wengi kwa hiyo ni ukabila? Je mbona Serikalini hatusemi Kuna ukabila? Fuatilia..... Mkoa ambao una shule za msingi nyingi na sekondari ndio wenye wasomi wengi na waajiriwa!
Sababu kabla hujafika ChuoKikuu lazima upitie huko chini... Kwa mtazamo wangu kutoka Kilimanjaro Kuna waajiriwa wengi @sekta ni sababu ya walisimamia Elimu zaidi na wapo wengi kwenye ajira! Je ni ukabila? Nimeongea kwa ufupi TU - haya ss tuambie huo Ukabila + Udini wa CDM.
@Dayvid9999999 ACHA hizi cheap politictrics young man. Angalia maslahi mapana ya Taifa Lako. Don't be comfortable in the current situation... You can enjoy a better view of things wholistically if u support than criticizing. We"re all TZnians! Think BIG!
@Mwabuk2Boniface mnasema lazima kwenda ubelgiji mara Kwa mara maana lazima kukutana na wanaotoa hela na waliokutuma Sasa swali familia yako Iko nje na waliokutuma wako nje sisi tukuamini vipi kwamba unapambania maslahi yetu na sio ya hao waliokutuma na kukupa hela
@HakimuWaNchi@TanzaniaLeaks Lakini mbona Hela zao (Wazungu) kama Taifa- hatuachi kuziomba? Tena na kutetea kwa nguvu zote- Deni stahimilivu!!! Hivi hizo Hela zinatoka kwa Waafrica wenzetu? Haya njoo ma hoja kwamba ni Mkopo tutalipa!
@MariaSTsehai Pole sana na Msiba wa Mzee. Hivi mnaposema wasomi Ina maanisha kitu Gani! Hivi vitoto ambavyo hata havijui kuandika barua iliyonyooka wakipewa plain paper ? Kwao Siasa ni Ajira na kujipendekeza ndio order of the day!!? Kwa authority ipi mpaka waitwe wasomi?
Njaa mbaya ila njaa ya akili ni mbaya zaidi π
Hapo mnajua mmepatia kumbe mnazidi kuharibu!
Eniwei imagine sina cheo serikalini wala kwenye chama ila mko bize mnanijadili kwenye press conferece
I live rent free in your brains!
Excellent ππ½π₯
I think brother there is need for you to explore at least other countries to see for urself what development mean and not o'wise. Not necessarily everyone who is indifferent ana tumika... Kumbuka wote ni WaTZ ni suala TU la mitizamo ya kiitikadi na jinsi anavyodadavua mambo!
Point of correction ! Nimeshatoka kwenye @>50 not more than 55 nafikiri sio kijana Tena! Lakini nafikiri I muhimu ukawa na a yardstick for comparison! @60 years of independence do u expect anything very new? U can't teach an old dog new tricks! Change is difficult
@zekritic@MariaSTsehai@TunduALissu Ikipendeza naomba mwambie Dada yako Aniblockuwe ili Tuingie kwenye Mdahalo wenye Hoja za msingi na Zenye Tija kwa Watanzania,Tatizo Vijana wengi mnatumika sijui kwa Maslahi ya Nani.
Asante @raiyajenerali Na wajinga wenye koti la uerevu watajifanya werevu kwa kujifanya wameelewa na kuanza kueneza Ujinga wao ulio na sura ya Uzalendo !
Tunapiga maneno mengi kuhusu uelewa wetu mdogo wa masuala mazito ndani ya jamii yetu lakini hatujajua kiasi cha janga letu hadi tutapoelewa kwamba kibao kinachosema USIKOJOE HAPA ni wachache sana wanajua kinasema nini. Ujinga wa aina hii hauruhusu chochote kile kuendelea nchini.
@michael_ka1972@godbless_lema Hebu tuelimishe kidogo kuhusu andiko Lako na mahusiano yake na Taharuki vs Kuvuruga Amani ya Nchi Mkuu. Tafadhali usiwe msemaji wa wote! We jisemee mwenyewe maono na maamuzi ya watu wengine waachie wenyewe!
@godbless_lema Tatizo hawa ni zuazua, huwa wanazua jambo na kusingizia ccm au serikali. Wananchi tujihadhari sana na hawa watu. Hawatutakii amani kabisa, wanaona wivu sana tunapoishi kwa kuelewana na kupendana. Wanazua taharuki ili tuvurugane
@Neto_Tanzania teamNdio muonyeshe kwa vitendo Sasa sio kuonyesha ushujaa kwa kuwa keyboard warriors! Wote mtoke na muonyeshe nguvu yenu pale anapoguswa Kiongozi au Muhusika wa Neto.. that's the spirit kama kweli tunataka changes
Zambia wana Laptop zao zinaitwa NEO, Rwanda wana MARA Phones na Satelite , Uganda wana Simu zao zinaitwa SIMI, Kenya wana Laptop zao zinaitwa TAIFA Wana Starlink pia wana Satelite yao, Tanzania tuna nini ?
@EduTalkTz Tafadhali waambie tukutane Mwezi wa Uchaguzi hapo Baadae kwa ajili ya Kufanya maamuzi sahihi! Nafikiri wameshajitambua! Hata wakipata ajira, Je wanaheshimiwa kwa kupata Ujira wa Heshima??
KUNA WALIMU ZAIDI YA 130,000 AMBAO WALIPASWA KUWA WAMEAJIRIWA KATI YA MWAKA 2016-2023 SERIKALI ILIPOKUWA IMESITISHA AJIRA. WATAAJIRIWA LINI?π€π€π€
@SuluhuSamia @ortamisemitz
Kwa wastani kabla ya serikali kusitisha ajira mwaka 2016 ilikuwa inaajiri walimu 23,000 kwa mwaka. Kwa mfano, mwaka 2011/12 serikali iliajiri walimu 23,907, mwaka 2012/13 ikaajiri walimu 28,638, na 2013/14 walimu 36,021, na 2014/15 walimu
31,056. Baada ya hapa serikali ikasitisha ajira hizi kuanzia mwaka 2015 mpaka juzi ilipoajiri tena watu 13,000.
Kwa mantiki hiyo, kuna watu 23,000 waliotakiwa kuajiriwa 2015/2016 hawakuajiriwa, kuna 23,000 wengine 2016/17, kuna 23,000 wengine 2017/18, kuna 23,000 wengine wa 2018/19, kuna 23,000 wa 2019/20, kuna 23,000 wengine 2020/2021, kuna 23,000 wengine 2021/22, na kuna 23,000 wengine wa 2022/2023.
Kwa lugha nyepesi kuna walimu zaidi ya 130,000 mtaani ambao walipaswa kuwa wameajiriwa lakini hawakuajiriwa kutokana na serikali kusitisha ajira.
Swali la msingi ambalo wote tunapaswa kuuliza, HAWA WALIMU WATAAJIRIWA LINI???????
Kama serikali ilisitisha ajira zao ili kurekebisha mfumo na mengineyo, kwa nini hawaajiriwi baada ya kazi hiyo kukamilika?
Tukumbuke hii rate ya kuajiri ilikuwa inaenda sambamba na asilimia za ongezeko la udahili wa wanafunzi.
Kwa mfano, katika kipindi chote hiki ambacho ajira zilikuwa zimesitishwa, idadi ya wanafunzi shule za sekondari imeongezeka kutoka wanafunzi 1,500,000ish mwaka 2015 mpaka zaidi ya wanafunzi 3,000,000ish mwaka jana, sawa na ongezeko la asilimia 200%.
Hata hivyo idadi ya walimu ni kama vile imebaki vile vile. Mwaka 2016 shule za sekondari zilikuwa na walimu 88,500; leo wapo 96,000 (kwa mujibu TSC).
Hili kundi la wanafunzi 1,500,000+ lililoongezeka toka mwaka 2015 ajira zilipositishwa, walimu wake wanaajiriwa lini??
Nadhani tuna haki ya kuwa na haya madai!
@mohonijoseph11, @HecheJohn siku hizi Wakubwa wamekuja na hii style mpya ya kuchukua hawa waungwana kama volunteers more than 1 year eti ni Volunteer! Hawana benefits zozote kama wafanyakazi wengine yaani full kutengwa kama watoto Yatima Wallah. Ama Kweli Mi5 Tena kwa Maza