Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary afariki Dunia Alfajiri ya leo Mei 11, 2025.
INNALILLAH WAINNAILAHI RAJIUUN.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo mara baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kiserikali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2025.
Katika ziara hiyo, viongozi hao wameushuhudia utiaji saini wa hati tatu muhimu za ushirikiano:
1. Makubaliano ya Ujenzi wa Hospitali ya Emirates–Tanzania Bukoba, Kagera kupitia ushirikiano kati ya Wizara ya Afya na Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE.
Leo Mei 5, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waliohudhuria hafla ya utoaji wa Tuzo za Uandishi wa Habari, Samia Kalamu Awards 2025, iliyofanyika tarehe 5 Mei 2025.
Mgeni Rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards2025 kwa Waandishi wa Habari iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akutana na kufanya mazungumzao na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, tarehe 05 Mei, 2025 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania yaliyopo Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.
Heri ya Siku ya Muungano! Tukiadhimisha siku hii muhimu, tuendelee kuuenzi mshikamano, amani na upendo uliojengwa na waasisi wetu.
#kazinaututunasongambele
@godbless_lema Swali langu kwa hao unaowaita watumishi wa mungu je!kauli za kukinukisha,uasi na bora nchi iwake moto tuanze upya waliiskia au hawakuskia na kama walisikia waliimea wapi?