@PeterM43961@Sativa255 Ulikuweo? Maana watu wengine ni mabingwa wa kuvumisha. Humjui, hujui kwao hujafika kabla na baada ya tukio. Wakikuomba uthibitishe utaweza??
No research no right to speak about.
@MzalendoDaily Wazee kama ninyi tunwategemea sana ktk kuisuka nchi, huku kwenye media hustahili kuongea haya. Ninyi ndiyo wazee mliobaki baada ya Mwl kututoka. Nchi hii inaasisiwa wewe upo, tunkabidhiwa uhuru wa kujitawale wewe upo, mfumo wa vyama vingi unaanza wewe upo, shida nini?
@MzalendoDaily Mzee wangu siyo vema kusimama majukwaani kusema hayo. Wewe unajua utaratibu, au kule wanakunyima fursa ya kuongea? Huko wanaongea wasio na fursa kama yako mzee wangu. Ongea, toa maoni hata kwa maandishi hao ni watu watakuelewa tu. Huku kwenye public siyo kwako.
@Jambotv_ Jamani amesema wanachama wa ccm, wewe ambaye si mwana ccm, nini shida. Maana najua wanaotukana siyo wanaccm,
Cha msingi ni upendo, amani na mshikamano, hii ndiyo ajenda kuu ya Mtanzania halisi, natudia tena Mtanzania halisi.
@Hardtaget1 @ChiefLumanyika Huko ni kujikombeleza unatuma salaamu za kuomba utawaliwe. Angalia anachofanya Trump sasahivi, hakupi msaada mpaka uwe na cha kumpa.
Kuweni makini na watu ambao hawana historia nzuri ya chama. Nawaasa hasa wa vyama vya upinzani, kwasababu waasisi wa vyama hivi wengi wameviachilia. Sikumbuki kama kuna chama kilisajiliwa kuwa ni lazima kishike dola bila ridhaa ya Watanzania. Kuweni makini na hawa watu
Hali ya kisiasa nchini
Ukiaangalia, kuna ripoti kadhaa zinatajwa na wanasiasa kuwa hazikufanyiwa kazi. Baadhi wwanazisifia ripoti hizo kuwa zingefanyiwa kazi, ulikuwa muarobaini wa matatizo ya kisiasa nchini.
Kwa maoni yangu, kwakuwa wanaotajwa wapo..
Liandaliwe kongamano, hawa watu waitwe kila mmoja aitetee ripoti yao mbele ya wadau wa siasa, mwisho zianishwe pointi za muhimu zinazoafikiwa na kila upande kisha uwepo msimamo wa pamoja juu ya ripoti hizi na misimamo hiyo ndiyo itumike wakati wote wa harakati