Katika Mahakama Kuu. Nikiwa pamoja na Askofu Glorious Shoo na Mchungaji Rose Lissu. Napata upako wa kiroho kabla ya kupata ubatizo kamili wa sheria.
Yohana 8:32.
Mungu ameshajibu maombi yetu. Lissu sio mhaini na Dunia yote inatambua hilo. Mapema kabisa katika Mahakama Kuu kusubiria matokeo ya kesi ya Mwenyekiti wetu Tundu Antipas Lissu.