Sidhani kama ni usaliti ila kwa usajili wa Simba wa mwaka huu acha nishabikie Yanga kwa mechi kadhaa nikipima upepo😁😁😁 mbinu ni ile ile ilofanya tushinde kombe la dunia na spain ndio naitumia kwenye NBC 😁😁😁😁
Usiniulize ninaishabikia timu gani kwenye fainali. Nitaanza na Spain, ikianza kuyumba nahamia Argentina. Mimi si msaliti, ni mwekezaji wa ushindi! 😅🏆🇪🇸➡️🇦🇷 Kombe lazima liwe upande wangu, kwa namna yoyote ile! 😄