@zed_officially@Mulastar255 Sahihi,lakini bado kuji specialize kama muuzaji wa meki directly,bado ni biashara fulani hivi ambayo kama ina kamzozo hivi.
@Mulastar255@zed_officially Ndiyo unaweza ni wewe tu kuangalia una target soko lipi, kwa mtaji huo inafaa zaidi kwa wachimbaji wadogo wa ndani zaidi au sehemu yenye (Mialo) mingi hao ndo wanunuaji wa mara kwa mara kwa vipimo vidogo hivyo vya koki,
@Mulastar255@zed_officially Kg 1 ya Mercury inatembea mpaka 1.5M ,ambapo mtungi ambao uko sealed una 34.5kg utapigaara bei ya kilo. Ambapo wengi hununua Mercury kidogo kidogo kwa kipimo koki ambayo inakua sawa na 60g ambayo huuzwa 120-150k kwa koki.