Week ya Wananchi ndio Imeanza Na hivi ndivyo Tunavoisherekea Nasemajeeee hii Imeenda wana @yangasc tukutane kwa mkapa Jumamosi hii Asumaniii ntakuwepo kwajili ya sikukuu yetu tukutane Pale
Sema kuna namna mshikaji anaitendea haki kazi yake na wateja wake pia,maana kila kitu anamaliza....
Kuna muda anaenda kama muimbaji,hapohapo anaenda kama Dansa,na bado kwenye kuyaMix hayo mangoma ndio mnoma kabisa,kudandia vyuma vipi😁🙌🏽
Kwa namna wasanii wa bongo walivyo ukute wanamHeiti mshikaji,haya mambo haya...
Kwenye comment hapo nimekuekea Clip aliyokuwa Arusha week kadhaa zilizopita, huu ni wakati wake acha apige hela🔥
Gustavo It's Friyeyyyyyyy yooooo lets get viiibe leo usiku Niko @the_cask_bar_grill Saturday @kwatunzabeach jumapili 4HoursOfProfesa @barrabeachtz Dont miss out
It's a flashback Thursday yoo Today i dedicated this playlist to our legendary @sir_nature kiroboo Tunashukuru kwa uwepo wako na kutupigia mangoma makali kaka tunakuombea kwa mungu Uishi sana Mzee wa kazi Kirobotooo
Produce by @majani187 🔥🔥