โ๐ฝ Kwenye maisha usijiulize sana unapitia magumu mangapi wala usiuzunike kwa changamoto unazopiti. Amini kila kitu nikumuomba Mungu ndo mkombozi sahihi wa kila kitu kwenye maisha yetu
Shukuru Mungu kwa kila kitu ๐๐ผ
Hello! This is jay.
Nina furaha kubwa kukukaribisha kusikilisa Album yangu ya kwanza {THERAPY}๐ธ๐๐
Enjoy mziki mzuri kutoka kwa @Realjaymelody โ๏ธ
https://t.co/c6joVDRaal