“Addiction, the latest addition to Jay Melody’s discography, stands as a testament to his relentless drive and meticulous craft.”
@franknjugi reviews @Realjaymelody’s album, “Addiction”⬇️
https://t.co/qeNzWnqS1J
The new Jay Melody album titled ADDICTION is quite versatile, touched many topics/themes. This is the type of projects that need time before making a comment. I already love it and I think more with time #ADDICTION@Realjaymelody 🙌🏾👑
Msani @realjaymelody ameachia album yake mpya #Addiction na moja ya ngoma zinazopatikana katika album hiyo ni wimbo huu #Tilalila ambayo amameshirkisha Mh Naibu waziri wa Utamaduni Sanaa Na Michezo @mwanafa
Umeipa sikio? Unampa maksi ngapi Mhe kwenye Mvesi huu?
✍️ @mkogoty
#EastAfricaTV #HainaKuchoka
Ipe shoutout project unayoikubali kwenye chati hii 💥
Hizi ndio albamu zilizoongoza kusikilizwa mwezi wa saba kwenye app ya Boomplay
Endelea kuusikiliza project uipendayo ili iwe kuendelee kukaa kwenye chati 🔝
#HomeOfMusic#Boomplay#TanzaniaCharts
Karibu kwenye orodha ya wasanii waliokimbiza na albamu zilizoongoza kusikiliza wiki hii 🔥
Msanii yupi umesikiliza sana ngoma zake na ni project ipi katika hizi hujachoka kusikiliza mpaka sasa?
#TanzaniaCharts#HomeOfMusic
Huyu hapa kwenye #Chemba@Realjaymelody amefunguka mengi kuhusu safari yake ya muziki mpaka hapa alipofika lakini pia kubwa ni kuhusu historia inayokwenda kuandika tarehe 20 pale #warehouse.tz Masaki
Unaweza kutazama full interview kupitia #cloudstv na YouTube channel yetu #CloudsMedia
Cc. andersondikson