Vijana wana nafasi kwenye dunia tuliyopo sasa, Kuhakikisha ilo tunayofuraha kumkaribisha mtangazaji kijana @KenTheRemedy kwenye uzinduzi wa Tanzania Green Summit @tanzaniagreensummit_ . Karibu sana Tuizimie Dunia
πMahali: Dar es Salaam Serena Hotel
π Siku : Julai 4, 2025
#TGS #TanzaniaGreenSummit #TunaizimiaDunia
Kule YouTube kuna Elimu ya kiFedha kubwa sana inatolewa na watanzania wenzetu.
Ukipata muda search hawa watu kwa YouTube
1. Eng Kabenda
2. Edmund Munyangi
3. Emilian Busara
4. Kuna The remedy podcast by my brother @KenTheRemedy .
Wherever you are, tycoons, stay blessed!
ππΎ