Best album yangu ya Hip Hop
Ulikuwa ...
Vina Mwanzo kati na Mwisho
Lakini hapana now ni..
KitaaOlojia ya @FidQ
Hii Tajiri ni moja kati ya Jiwe langu
Bora kabisaa
Mwanangu @MwanaFA nimeamini siwezi kuchinja Ngombe mzima Kwa order ya maini nyama Nyingine nimuuizie nani iniozee ndani
Huu wimbo unaniambia ndio da best Hip Hop song 2019 maneno
Beat Balaaa kabisaa
Kweli naamini sio lazima uimbe na beat kakaa
@UsalamaWaTaifa Kaka sasa wao sio watanzania au
Ulitaka nani? Ndio vioo na ndio wanafuatiliwa na wananchi Dunia
Kote kakaaa so sio kila kitu Tunakosoa ....