Najua umeambiwa haya...
Kama huna elimu hutafanikiwa...
Kama familia yako ni masikini hakuna namna utatoboa...
Kama umefeli mitihani darasani..wewe huna nafasi duniani..
kama Mpka miaka 30... https://t.co/ytZUbwATis
Muda na Hali zinaweza kubadilika wakati wowote ule!!
Usimdharau wala Kunyanyasa yeyote kwenye maisha muda wowote ule.
UNAWEZA KUWA NA NGUVU LEO...LAKINI KUMBUKA
MUDA una nguvu KULIKO WEWE!!
Kuwa Mwema...TuTENDeane mEMA. #wesdomwenesday.
Chama cha ma DJ mkoa wa Arusha A.D.A kinatoa shukran kwa ndugu jamaa,marafiki na wanachama kwa waliopata kushiriki kwa hali ama Mali katika Msiba wa mpendwa wetu DJ Nelly ambapo siku ya Leo tumeweza kumpumzisha... https://t.co/GXsOGvG5i0
Usikose kutazama kipindi maalum cha fadhila za mwezi mtukufu wa ramadhani kinachoruka kila ijumaa kwanzia saa12 kamili ijumaa ndani ya MCTV cable Arusha.. Mawaidha na ma dai mbalimbali kutoka nje na ndani ya mkoa wa Arusha... Al jumaa maqubul
Mapema leo ndani ya msikiti mkuu wa ijumaa ktk Mchujo wa 4 wa Kanda ya kaskazini Mkoani arusha ya kumtafuta mshiriki wa Tuzo za kuhifadhi Quran atakaeshiriki katika kilele cha Mchujo utakaofanyika Mkoa wa Dodoma. Na fainali za Tuzo zitafanyika Diamond Jubilee 26-5-2019 Jumapili
Hongera kaka mkubwa kwa kukamilisha nusu ya Dini.. Allah awaongoze ktk safari hii mlioianza Leo na kuwabariki ktk kizazi kilichokuwa bora inshaalah. #mabrouk Abasi Salum
KIU YA KUTAKA KUFANIKIWA ITAKUSUKUMA KUUSHINDA WOGA NA pale utapo toa uwoga ukaweka nia ukaongeza juhudi kuelekea kwenye malengo yawezekana ukaogopa njia yenyewe...LAKINI MWENYE KIU KALI..MWENYE KUTAKA KUFIKA MBALI....HATO KUBALI KUTOLEWA KWENYE LAINi... #focus# day&9t
Habari za jioni. Kesho jumatatu ndio siku tunatarajia kwenda kumpumzisha Nd. Goodluck Taiko a.k.a DJ white aliyefariki alhamisi. Msiba upo nyumban kwake Mianzin mbele ya msikiti Wa Mianzin kwenye transform... https://t.co/xpmsomHa2V
Chama cha ma DJs Arusha @arushadeejassociation kina sikitika kuwatangazia kuwa kimempoteza mmoja Wa wajumbe Goodluck Taiko a.k.a DJ white amefariki siku ya Leo alkhamis majira ya SAA 12 jioni. Taarifa zaidi... https://t.co/SKO5rmyFKp