@umwalimu @BAPSCharities Muheshimiwa sasa ambao tunafanya kazi za music tunaishiji na mabaa mmefunga ambapo ndo tulipo kuwa tunapatia riziki leo hii maisha yetu yamekuwa magumu sana muheshimiwa tunaomba mtufikilie kwa hili Kwan tunafamilia zinatutegemea na tulikuwa tunatengemea kipato kupitia kazi ya DJ