TANZANIA INAYO NAFASI YAKUUZA UMEME KATIKA BAADH YA INCHI ZA AFRICA NI MUDA SASA SISI KAMA WATANZANIA WA KUTEMBEA KIFUA KIKIWA KINATANGULIA MBELE KAMA TUMEPIGWA NGUMI YA MGONGO YOTE HAYA NI MAMA YETU AMBAE ACHOKI WALA APATI USINGIZI KWAAJILI TU YA SISI WATOTO WAKE
#djwamama
Kama unaenda kuonana na mtu aliyekuahidi Fursa yeyote zingatia haya
1. Lugha unayotumia kuongea, epuka
kutumia maneno ya mtaani sana
2. Muonekano wako, je umevaaje na unaonekanaje
3. Muda,kama umeambiwa mkutane
sehemu hakkisha anakukuta sio anakusubiri
Vitu vidgo vidgo sana ✍🏽
Fedha inaweza kujenga manyumba lakini ikabomoa familia, ikakupa wapenzi na ikakunyima mahusiano... wakati tunaomba mafanikio tuombe na busara ya namna ya kuyaendesha
Mbio za Maisha ni Zaajabu sana. Anaetafuta achoki na aliepata anataka zaidi...Hupaswi kuongeza Mwendo Unaitaji Kuongeza Maarifa Kwa sababu aushindani na Mtu. Unashindana na Malengo yako... Mambo yakiwa Magum Usibadilishe lengo Badilisha mpango...