Kikosi ambacho kitaondoka kesho alfajiri kwenda nchini Tunisia kuwakabili Espรฉrance Sportive de Tunis kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. #NguvuMoja
Furaha ya baba mzazi wa Triple C baada ya kupewa taarifa kwamba kijana wake amerejea kwenye timu yake ya maisha.
Mahojiano kamili ingia Simba App na YouTube - Simba SC Tanzania. #NguvuMoja