d.light manufactures&distributes solar lighting&power products designed to serve more than 2 billion people without access to reliable electricity.
π0800750079
π’ Tuko Sokoni!
Karibu tukuhudumie upate bidhaa na huduma zetu karibu yako β kwa ubora, uaminifu na urahisi wa upatikanaji! π
π Wasiliana nasi: Piga 0800 750 079 || WhatsApp 0755 532 162
π#dlightTanzania#UmemeWaUhakika#Tanzania#HudumaKaribuYako
π‘ X1000 Pro β Furahia mwanga wa uhakika nyumbani au kwenye biashara yako kwa kutumia mfumo wa sola unaojumuisha:
π Taa 5
π― Motion Sensor Bulb
π Inachaji simu
β‘ Paneli ya Watti 40
βοΈ Masaa 10 ya mwanga mkali
Tupigie π 0800 750 079 au kwa whatsApp 0755 532 162
#dlight
Tunawatakia akina mama wote duniani Siku ya Mama yenye furaha, upendo na mwangaza! Asante kwa kuwa taa ya maisha yetu.
#SikuYaMama#dlighttanzania#motherday
d.light Tanzania tunawashukuru wafanyakazi wote kwa juhudi, bidii na mchango wao mkubwa katika kujenga jamii na taifa.
Tunaungana na Watanzania wote kuadhimisha siku hii muhimu kwa heshima na shukrani.
Kazi ni heshima!
#SikuYaWafanyakazi#LabourDay2025#dlightTanzania
TAREA is proud to announce @dlight_TZ as official exhibitor during the upcoming Renewable Energy Week Event 2025 on 28th-29th May at JNICC
Participating in this landmark event can provide significant strategic advantages.
Register via link π
https://t.co/VAB4RUQfF8
d.light inawatakia Wakristo wote Ijumaa Kuu njema. Tuchukue muda huu wa kutafakari juu ya upendo, msamaha, na tumaini jipya."
#IjumaaKuu#GoodFriday#d.lightTanzania #dlighttanzania#d.light
π‘ Umeme wa Uhakika! π‘
Kwa biashara yako sokoni au nyumbani β usikubali giza likuzuie kufanikisha malengo yako!
Fanya kazi zako bila stress ukiwa na Mwanga wa Uhakika!
π Wasiliana nasi: 0755 532 162 | 0800 750 079
π#dlighttanzania#UmemeWaUhakika#tanzania
π§ π± Changamsha akili yako!
Jibu ni ngapi? Taja jibu sahihi π
Simu hizi bomba zinapatikana kwa mpango wa Lipa Pole Pole kupitia mawakala wetu wa d.light!
π Piga 0800 750 079 ujipatie yako leo!
#JibuNiNgapi#dlightTanzania#SimuZaKisasa#PayGo
π±β¨ Jiachie ki-style na Tecno Pop 9!
Simu ya kisasa yenye uwezo mkubwa na muonekano wa kuvutia.
Lipa pole pole kupitia mpango wetu wa Pay Go!
π Piga 0800 750 079 leo ujipatie yako!
#TecnoPop9#dlightTanzania#LipaPolePole#SmartLiving
π± Selfika na Itel A70 Leo β Lipa Kidogo Kidogo! π
π Betri imara
πΈ Kamera bora kwa selfies
πΎ Hifadhi kubwa kwa picha, apps na nyaraka zako
ποΈ Pata sasa kupitia wakala wa d.light aliye karibu nawe.
π Wasiliana nasi kwa 0800 750 079 β Uanze safari yako ya kidigitali leo!
π Tunatambulisha rasmi mgeni wetu mpya β X1000 Pro! π
Mtambo huu wa kisasa unakuja na taa 5 zenye mwangaza wa kuvutia, ikiwa ni pamoja na taa moja ya usalama yenye sensor ya mwendo (Motion Sensor Bulb)
π Tupigie sasa kwa 0800 750 079
Usikose mechi kali Wikiendi kwa sababu huna TV! π₯
Jipatie TV ya inchi 32 yenye HD kwa bei rahisi na uhuru wa kulipa kidogo kidogo. πΊ
β½ Wikiendi hii kuna mechi kaliβhakikisha unaziona LIVE nyumbani kwako!