@brfootball You commit an offence, the authorities say "okay, now rest, take these days off work"...😅 How is that considered punishment? People usually celebrate days off work
@Issa_Ally_Mdoe Kuharisha na kutapika hupelekea kupungua kwa ujazo wa damu na hatimae figo zinafeli. Ndio maana anaeharisha/kutapika sana akifika hospitali cha kwanza wanatathmini kama amekaukiwa (dehydrated) na km amekaukiwa anaanzishiwa dripu
@anyitike_pm@BongeLaAfya Umewahi safisha kidonda kwa elf 2 sehem yyte, hata serikalini? Hio huruma kwanin wasianze viongozi kua mfano wa kuwaonea huruma waTz? Au kujikopesha bil. 41 za NHIF ndio kuonyesha huruma?