Katika kumbukizi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, tunakumbushana umuhimu wa umoja, haki, na kujitolea kwa maendeleo ya wote. Baba wa Taifa alituonyesha kuwa uongozi wa kweli ni kuwatumikia wananchi kwa uadilifu na upendo.
#NyerereDay
Taasisi ya @EcoScopeF inawapongeza uongozi wa Shirika la @DmiHope kwa kazi kubwa wanaoifanya kuwasaidia waathirika wa biashara haramu na wataendelea kutoa ushirikiano kupitia mradi wa kupambana na biashara haramu #RescueAndRestore
We are thrilled to introduce our second project that aims at providing empowerment to Victims/Survivors of human trafficking, women and youth through financial inclusion. We are delighted to announce that with the collaboration from @DmiHope Tanzania, Eco Scope Foundation has
programs. Additionally, we aim to continue empowering TIP survivors to lead sustainable lives. This conversation has been incredibly productive and blessed."
@DmiHope#AcessToOpportunity
"Kampeni ya sahihi imefanyika katika mikoa 13 tareget ilikuwa ni ni kupat sahihi 5000, lakini leo tumevuka lengo kwa kukusanya sahihi 57,000 za wadau mbalimbali Tanzania bara na Zanzibar waliokubaliana kupinga biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu nchini" Sista Fatma - @DmiHope@Tanahut1
#UtuWanguHakiYangu #EndHumanTrafficking
Shirika la Tanzania Relief Initiatives lilipata wasaa wa kushirikiana na Shirika la @DmiHope katika kutoa elimu kwa jamii juu ya biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu nchini katika maeneo ya Kibamba Shule.
Elimu hii ni mwendelezo kuelekea Siku ya Kimataifa ya kupinga
Moja ya vitu vinavyowachochea kujiingiza katika biashara haramu ya usafiirishaji binadamu ni umaskini lakini pia kwa kukosa elimu, sisi kama @DmiHope tunawaelimisha ili waweze kujua madhira ya biashara hii lakini pia tunawawezesha katika stadi za maisha katika mafunzo ya ufundi.
Katika kuelekea maadhimisho ya kupinga biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu, Shirika la @DmiHope limeendelez a kampeni ya kutoa elimu katika jamii.
Tarehe 19/ Limetoa elimu maeneo ya Kibamba Shule, lengo ikiwa ni kuhakikisha jamii salama na yenye uelewa juu ya usafirishaji haramu wa binadamu.
#DmiSpringOfHope
"Aina kubwa ya usafirishaji haramu wa binadamu nchini ni unyonyaji wa kingono pamoja na kutumikishwa katika kazi za ndani"
@kimashi255 - @DmiHope#DmiSpringOfHope
DMI ni shirika ambalo lina historia kubwa katika kusaidia wahanga wa masuala ya ukatili wa kijinsia lakini pia kwa sehemu kubwa DMI ni miongoni mwa taasisi zinazotoa huduma ya kuwahifadhi wahanga wa biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu.
#DmipringOfHope@DmiHope
"Nchi ya Tanzania haijasalimika kabisa juu ya usafirishaji haramu wa binadamu, Tanzania pia ni mapitio ya wafanyaji wa biashara hii. Lakini pia inafanyika ndani kwa ndani, elimu bado inahitajika kwenye jamii"
@DmiHope#DmiSpringOfHope
Shirika la @DmiHope kwa kushirikiana na @tanzaniarelief2 wameweza kuaandaa mjadala wa wazi wa kuelimisha umma juu biashara ya usafirishaji haramu nchini kuelekea kilele cha siku ya kupambana na tatizo hili-30/07
Tukio hili limefanyika eneo la Kibamba Shule. #EndHumanTrafficking
In commemorating the World Day Against Trafficking in Persons, DMI Spring of Hope and TANAHUT have take steps to salvage the lives of TIP victims from the blood hands of the traffickers through public awareness raising at Manzese TIPTop, DSM.@Tanahut1
We believe every child deserves the opportunity to be and do all they were created for.
Girls often come to Courage House pregnant or with a child. We are changing generations with safety, love, and resources for child survivors and their children.
#EndHumanTrafficking
Members of the network @tanzaniarelief2 and @DmiHope giving human trafficking civic education at Magufuli bus stand in Dar es salaam with view to strengthen Peoples awareness and increase resilience in protection of Vulnerable groups. Buses involve in human trafficking
#UtuWanguHakiYangu
Mr Alexander Lupilya from ATS says " Tanzania has joined the global efforts in combating human trafficking, the government through collaboration with the stake holders have been taking radical measures to overcome the crime including capacity building to law
Beginning our year with forging new partnerships and collaboration. We are excited for the productive discussions with SDIMC country leadership. Looking foward to an impactful collaborations in adancing women and girls rights in Tanzania.