Top Tweets for #DmiSpringOfHope
"Aina kubwa ya usafirishaji haramu wa binadamu nchini ni unyonyaji wa kingono pamoja na kutumikishwa katika kazi za ndani"
@kimashi255 - @DmiHope
#DmiSpringOfHope

"Nchi ya Tanzania haijasalimika kabisa juu ya usafirishaji haramu wa binadamu, Tanzania pia ni mapitio ya wafanyaji wa biashara hii. Lakini pia inafanyika ndani kwa ndani, elimu bado inahitajika kwenye jamii"
@DmiHope
#DmiSpringOfHope

@anuskills3 @DmiHope @MissChelsea1221 @MiriamMkanaka @kipepe123 @kalage_jr @Happie_Thom @VeronicaEvord1 @babalao__ @winharder_ @Giantism255 Hakika hii ni nzuri kwa jamii yetu
#DMISpringOfHope
Mabinti waliofanikiwa kujiunga ja mafunzo ya ufundi ni 101 ambao wamefawanyika katika makundi matatu.
>57 ndio wanahitimu
>32 wataendelea na mafunzo makoni
>12 Waliunganishwa na familia kabla ya kumaliza mafunzo.
#DMISpringOfHope

Mwaka 2022 DMI ilipokea watoto 126 Wahanga wa usafirishaji haramu wa binadamu, miongoni mwao 25 waliunganishwa mapema tu na familia zao kutoka kituo za mapokezi kabla ya kujiunga na mafunzo
#DMISpringOfHope

Taasisi ya @DmiHope hufanya kazi kwa karibu na idara za serikali na wadau mbalimbali katika jamii, pia katika kuwaunganisha waototo hawa na familia zao
#DMISpringOfHope

@anuskills3 @MiriamMkanaka @NjiwaFLow @Happie_Thom @kalage_jr @McinikaWaLamar @DmiHope @mahimela @winharder_ @yose_hoza Wametengeneza fursa #DMISpringOfHope
@kalage_jr @anuskills3 @MiriamMkanaka @NjiwaFLow @Happie_Thom @McinikaWaLamar @DmiHope @mahimela @winharder_ @yose_hoza Mambo mazuri wanafanya
#DMISpringOfHope
Watoto pia hupewa semina za afya katika mada za VVU/UKIMWI, Magonjwa ya Zinaa, Elimu ya Uzazi na usafi binafsi. Semina hizi hutolewa na wauguzi/Madaktari lakini pia uchunguzi wa kiafya na ushauri kwa mabinti.
#DMISpringOfHope
Wakufunzi mbalimbali hutoa mafunzo ya stadi za maisha ili wajue haki na wajibu wao, wajiamini, wajitambue, wajithamini , wajiheshimu lakini pia mafunzo haya stadi wanayojifunza yeweze kuwa na mchango kwenye maisha yao.
#DMISpringOfHope
Walengwa wakiwa makaoni hupata msaada wa kisaikolojia ili kutambua changamoto zao ili kuweza kuponya maumivu yao na kuwasaidia kujua thamani yao na kurudisha tumaini kwao
#DMISpringOfHope
#DMISpringOfHope
Katika kuokoa mabinti wahanga wa biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu, taasisi inafanya kazi karibu na serikali kupitia ustawi wa jamii ambayo huhusika moja kwa moja kuidhinisha mabinti kupokelewa katika nyumba salama.

Last Seen Hashtags on Sotwe
missionCities
Seen from United States
அதிமுகவுடன்
Seen from United States
tutorswhotreat
Seen from United States
LoveQuotesWithImages
Seen from United States
鳳車庫
Seen from United States
cuteandhorny
Seen from Mexico
ZaferBayramı
minichat()*+filter:media since:2026-08-1 filter:videos
Seen from United States
งานทางบ้าน
Seen from Thailand
staceypoole
Seen from Germany
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers















